Nipo nipo tuuu...

Nipo nipo tuuu...

yani leo nipo nipo tu...
nani yupo yupo kama mimi???....
am bored....sijielewi....nipo tu yaniii like sipo vile....
i wish nielezee vile najisikia ila sijapata right words za kuandika...
hebu sema
Kitu gani hakijafanyika na ulitamani kiwe vile
 
walio kwenye period utawajua tu
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji100]
 
yani leo nipo nipo tu...
nani yupo yupo kama mimi???....
am bored....sijielewi....nipo tu yaniii like sipo vile....
i wish nielezee vile najisikia ila sijapata right words za kuandika...
Shukuru aliyekuumba !!
Umeamka asubuhi na kuvuta pumzi safi,umzima wa afya, macho yanaona mwaaaah !!
Shukuru.. kuna watu wapo ICU, kuna wagonjwa kuna waliyofiwa wana simanzi...
Kuna waliyopo jela .. wapo wenye kesi zimeatinga... nk nk nk nk

hebu jirudi nafsi yako !! Uwe mtiifu kwa muumba wako..
 
Mimi mwenyewe leo nipo nipo,naona tupo pamoja mimi naona leo tuwepo tuwepo tu kwa pamoja.
 
Mimi mwenyewe nipo nipo tu

lakini wekundu wamsimbazi hawapo uwanjani

sijui kwann najisikia hovyo
 
Shukuru aliyekuumba !!
Umeamka asubuhi na kuvuta pumzi safi,umzima wa afya, macho yanaona mwaaaah !!
Shukuru.. kuna watu wapo ICU, kuna wagonjwa kuna waliyofiwa wana simanzi...
Kuna waliyopo jela .. wapo wenye kesi zimeatinga... nk nk nk nk

hebu jirudi nafsi yako !! Uwe mtiifu kwa muumba wako..
Amina.....asante
 
Back
Top Bottom