Thatz the reason !!!Kuna issue inatakiwa ikamilike this week na bado hata sijaianza...sijui ndo sababu...hata sielewi
[emoji23]kumbe siko peke anguMimi mwenyewe leo nipo nipo,naona tupo pamoja mimi naona leo tuwepo tuwepo tu kwa pamoja.
Niko huku nanjilinji Ntwara[emoji87]Wapi Upo ? Nije tupige story
Bagamoyo kuna majini[emoji45]Ni PM namba yako twende Bagamoyo tukale Bata turudi J2 Usiku.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sitaki kuuguza vidonda miekashushe bendera ya taifa kituo cha polisi kisha ukimbie nayo usipochangamka basi tena
HolidayScorpio me hebu nenda pindi
[emoji28] kumbe tupo wengi aseeMimi mwenyewe nipo nipo tu
lakini wekundu wamsimbazi hawapo uwanjani
sijui kwann najisikia hovyo
Huku nilipo hua hawakati umemeInaonekana huko ulipo umeme umekatika... ?
Si kidogo🙂 kazi kweli kweli
[emoji28]kula maji
Dah sijui itakuajeThatz the reason !!!
Sometimes Mambo yakienda tofauti,
Ukiachana na issue za relationship, Hali kama hiyo hutokea halafu unakuta ulikuwa umepania fulani
Chagua wewe unataka kwenda wapi?Bagamoyo kuna majini[emoji45]
Hata sijui chiefScorpio me
Kwa nini mama?
Peponi[emoji18]Chagua wewe unataka kwenda wapi?
ni pm namba yako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sitaki kuuguza vidonda mie
Atakoma si kidogo...kila akati anapiga kuniuliza nataka nini aniletee...akati me mwenyewe dunno what i want[emoji19]Kuna uzi flani kule unaelezea akili na vituko vyenu nyie wenzetu nadhani ndio mambo kama haya ya mtu kusema upo upo hujielewi na kuelezea hiyo hali huwezi[emoji5] [emoji5]
Leo jamaa yako atakoma tu maana nahisi simu wala txt zake hupokei kwa sababu upo upo tu.
Mungu tusaidie sisi wanaume maana kuishi na nyie inahitaji zaidi ya akili na kujitoa ufahamu.
Umeshafanya assignments zako lakini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuchart???ni pm namba yako
kuchart na mimi itakua kitu ambacho hukuwahi kufikiria
hebu nitunie uone
Tushirikishane akili za wanamke ambao tunakuwa nao katika mahusiano ya kimapenziAtakoma si kidogo...kila akati anapiga kuniuliza nataka nini aniletee...akati me mwenyewe dunno what i want[emoji19]