Nipo nipo tuuu...

Nipo nipo tuuu...

Kuna issue inatakiwa ikamilike this week na bado hata sijaianza...sijui ndo sababu...hata sielewi
Thatz the reason !!!
Sometimes Mambo yakienda tofauti,
Ukiachana na issue za relationship, Hali kama hiyo hutokea halafu unakuta ulikuwa umepania fulani
 
kashushe bendera ya taifa kituo cha polisi kisha ukimbie nayo usipochangamka basi tena
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sitaki kuuguza vidonda mie
 
Thatz the reason !!!
Sometimes Mambo yakienda tofauti,
Ukiachana na issue za relationship, Hali kama hiyo hutokea halafu unakuta ulikuwa umepania fulani
Dah sijui itakuaje
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sitaki kuuguza vidonda mie
ni pm namba yako
kuchart na mimi itakua kitu ambacho hukuwahi kufikiria
hebu nitunie uone
 
Kuna uzi flani kule unaelezea akili na vituko vyenu nyie wenzetu nadhani ndio mambo kama haya ya mtu kusema upo upo hujielewi na kuelezea hiyo hali huwezi[emoji5] [emoji5]
Leo jamaa yako atakoma tu maana nahisi simu wala txt zake hupokei kwa sababu upo upo tu.
Mungu tusaidie sisi wanaume maana kuishi na nyie inahitaji zaidi ya akili na kujitoa ufahamu.

Umeshafanya assignments zako lakini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Atakoma si kidogo...kila akati anapiga kuniuliza nataka nini aniletee...akati me mwenyewe dunno what i want[emoji19]
 
Back
Top Bottom