Nipo nipo tuuu...

Nipo nipo tuuu...

Yaani leo nipo nipo tu. Nani yupo yupo kama mimi?

Am bored....sijielewi....nipo tu yaniii like sipo vile.

I wish nielezee vile najisikia ila sijapata right words za kuandika.

Wewe sema umechacha wala usiogope kwani kuchacha kubaya!! Kama una TV flat screen nipm tumalizane!!!
 
hata mim leo nipo nipo,tyu yan mpak now sijisomi hat sijafanya jambo la msing leo na nina mambo kibaoooo
 
Toka nje katafute sehemu iliyotulia upumzike hapo, tena ni vizuri ukipata upepo wa asili
 
Believe me sometime kukaa pekee sehemu tulivu, ndani ya muda tu utajiskia vizuri kama umeboreka, mi kawaida yangu nikijiskia ovyo huwa nakwenda bar yoyote inayouza mchemsho wa kuku, napiga mchemsho safi then narudi hom.
 
Mhhh!hii siku ya Leo hata kwangu haipo poa kbs,yaan najaribu kufikiria hata kabiaashara changu nilichoanzisha sijui niisimamishe,coz nahisi wanafaidika watu wengine lkn Mm sioni faida niliyoitegemea
 
Ungenambie nikupeleke Karioke. Tatizo siku hizi sijui unanionaje,sawa bhanah!
 
Back
Top Bottom