ImeadikwaEmbu kazana kusoma kwanza,mke mwema anatoka kwa Bwana..
NimerekebishaHapa sijakuelewa
Asante mkuu but hawa viumbe sio wa kuwaamin sana coz one day utakuja kujuta kama me bro akoPole sana Mkuu
Asante nimelielewa sana wazo lako!Nimerekebisha
Noted!Mwache mtoto a some.huogopi mvua thelathini mzee.
Ndio najitune hapa ili nisilewe na penziAsante mkuu but hawa viumbe sio wa kuwaamin sana coz one day utakuja kujuta kama me bro ako
Mawazo safi kabisa Boss![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hao wakusoma hawana Mdhamana kabisa yani hapo unapotezaa muda mkuu.. Huna tofauti na MTU anaefukuzaa upepooo! Alafu huwa wanabadilika Fasta Sana bila sababu Kama uliweka matumaini 100% unaweza uguaa kichaaa.. ACHANA NAEE...ATAKUPOTEZEA MUDAA
Yaliwahi Nikuta mzee...!! Wakusoma sio kabisa kudanganywa rahisi sana... Alibadilika tu from nowhere sema me piaa nlikuwa nao waziada nkahamisha mapenzi tu fastaMawazo safi kabisa Boss!
Yaah, Ugejinyonga mzee, akiba ni muhimuYaliwahi Nikuta mzee...!! Wakusoma sio kabisa kudanganywa rahisi sana... Alibadilika tu from nowhere sema me piaa nlikuwa nao waziada nkahamisha mapenzi tu fasta
yaah mkuu wee mpotezee tuu...!! Tafuta MTU ambae unaweza kuwa nae mda unatakaa...mkapanga mambo yakapangikaa..Kusuburii miaka 6 sijui 5 utakuja kufaaYaah, Ugejinyonga mzee, akiba ni muhimu
Nimekuelewa, unajua kuna mapenzi na mipango.. sasa katika Mapenzi mihemko inazidi kiasi kwamba huwezi kufanya mambo yako kwa ufanisiyaah mkuu wee mpotezee tuu...!! Tafuta MTU ambae unaweza kuwa nae mda unatakaa...mkapanga mambo yakapangikaa..Kusuburii miaka 6 sijui 5 utakuja kufaa
akifeli shule bado hajafeli maishaAchana nae soma dogo mambo mazur yapo mbele
Mi nlikua siamin baada ya kumaliza masomo yangu miaka sita
Sasa hivi na enjoy hatar mpaka wengine na wapiga stop wasije wakagongana geto
Tulia soma tafuta kaz ufurahie maisha hizi nyapu zipo utakula sanaaaaaa
Ila ukifeli ndiyo bas hata huyo dem atakukimbia
hahahaa aiseeakifeli shule bado hajafeli maisha
Hii nimefanya siku nyingi baada ya kutaka kunizinguaUnajua maana ya mguu mmoja nje, mguu mwingine ndani?
Kama vile upo kwenye mawazo yanguaking'ang'ania mueleze hofu yako kwake, kisha kuwa naye kwa tahadhari usije leta uzi wa kuumizwa.