- Thread starter
- #61
Amina Kaka, BarikiwaM ninaushahidi wa kutosha kuna kenge mmoja nilimvumilia kwa kila hali alipokuwa advance lakini alikuja kwenda chuo aiseee had Leo siamini. Hisia za mapenzi zisikuforce kuchukua maamuz ambayo siyo magumu tumia kichwa cha juu kuamua kijana.
Kila la kheri na masomo ya chuo