Nipo njia panda

Sema tu unataka mganga, sikuhizi mganga yuko Kigoma ana kusomea kisomo kwa what’s app.
 
Hahaha
Nilikutana nae tu sehemu.. ni kiongozi flani flani hivi
(Simlazimishi ila kwann abreak the promise bila sababu maalumu wakati ashanitumia sana tu[emoji24]
Kwahio mlikuwa wapenzi au niseme friend of benefit, kama mlifikia stage hio nahakika alikuwa akikupatia hela. Ulijaribu kusave hizo hela za kuhongwa kama akiba au ndio ulipata danga ukawa unakula bata. Palipo bakia jikaze umalize mwenyewe


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Hahahaha...

Umemnywea kojo... hahaha... wewe utakua unatabia za visiwani...


Cc: mahondaw
 
Ukitukuta kwenye jukwaa letu tumetulia kazi yako ni kukutukumbusha kua Uturuki wanazalisha umeme kwa upepo wa mabasi.

Kumbe wewe mwenyewe ni mshirikina tapeli.
[emoji23][emoji23][emoji2][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
kwani kuna mtu anateseka ?
 
Hahhaaa tena mzee palwa atamsaidia sana tatizo ile hirizi tu kiunoni ataweza kuivaa
Teh..Mzee alegeze masharti kidogo..Hiki kipengele cha hirizi ya kiunoni inamkosesha wateja wengi..
 
Hakuna mganga zaidi mungu piga goti fanya maombi kwasana mambo yatakuwa mazuri
Kamgeuza mwenzie sponsor,wala hasikitiki kukosa huba...bali benwfits nyingine nyingine.
 
Nipo mganga special kwa case yako. Huitaji kuumizwa kichwa mdada.. Unachotakiwa kufanya ni kuja nyumban salasala haraka ipasavyo ili tiba ianze. Njo na nguo za kubadirisha maana tiba itachukua km siku mbl tatu. Hakikisha chura (Tako) ipo maana mizimu inapenda sana chura. Huitaji kubeba Chu....p ata moja. Njoo na nguo za nje pekeeeee
 
Jamani excuse meeeee wanazengo!!!! Mnaoni pm kua niwatumie hela ili mniunganishe na hao wataalamu.. my dears msijisumbue m mwenyewe hali yangu pangu pakavu Yan tia maji tia maji kma umeamua kunipa we nipe tu huyo mtaalumu nitakushukuru sana[emoji30] Ila kama unajua huwezi kunisaidia mpaka nikulipe’ hell NO!!! Hata usini pm
 
Maisha haya changamoto sana.

Wewe mtu kakusaidia bila kumroga, kakufikisha sehemu nzuri tu. Leo unataka kumroga ili akusaidie!

Huyo sponsor kakuacha baada ya kuona hujitambui, na inawezekana aliona viashiria vya ushirikina.
 
Maisha haya changamoto sana.

Wewe mtu kakusaidia bila kumroga, kakufikisha sehemu nzuri tu. Leo unataka kumroga ili akusaidie!

Huyo sponsor kakuacha baada ya kuona hujitambui, na inawezekana aliona viashiria vya ushirikina.

Hayo ni mawazo yako.. haya hongera
 
Mama mtwara huku hakuna waganga nenda gambosh.... Kwani wale 900 waliomkingia kifua jiwe hujawaona?
 
Hebu subiri, kumnywea kojo ndio kufanyaje?
Mwenzangu hilo kojo wanasema unaweka kwa kizibo cha chupa ya Maji safi au juice zile unataja jina la huyo mtu mara saba kisha unasema utakacho afanye huyo bwana....... Huko kwenye magroup ya whatsapp Kuna kasheshe kwelikweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…