Nipo njia panda

Anaesema mganga ni Mungu muogope kama ukoma!! Ukimuangalia katika ulimwengu wa roho utashangaa.
 
Mwenzangu hilo kojo wanasema unaweka kwa kizibo cha chupa ya Maji safi au juice zile unataja jina la huyo mtu mara saba kisha unasema utakacho afanye huyo bwana....... Huko kwenye magroup ya whatsapp Kuna kasheshe kwelikweli
Jesus halafu unakunywa?!!!!!!!!! Na unakuwa mkojo wa nani? 🙆🙆🙆🙆
 
Jesus halafu unakunywa?!!!!!!!!! Na unakuwa mkojo wa nani? [emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Wako mama wakoooo eeesh.... Huko kwenye magroup Kuna mazito mpaka hayawezekani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kazana na biashara inaweza fikisha malengo yako

Achana na shirki dear unabeba maagano yatakayokucost uko mbeleni
 
Nimecheka kwenye kojo jamani nimekumbuka mbali sana
 

We ni mpuuzi, kama mtu kakusaidia mpaka Diploma jisogeze mwenyewe! Na unajua kwa nini hapokei na kaku block......

Huwa mnawazarau wanaowasaidia hawa mkiwa na mahusiano nao!
 
Watu wanatumia fursa vizuri
 
Wako mama wakoooo eeesh.... Huko kwenye magroup Kuna mazito mpaka hayawezekani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na wanaamini kabisa kuwa inafanya kazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli dunia ina visanga hiii[emoji134][emoji134][emoji134]
 
Kunywa mkojo wako dada ule wa asubuhi unaunywa huku wanuia maneno..unataja jina la mlengwa mara 7
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawa waganga watatuua walah!!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawa waganga watatuua walah!!!!
Yani acha tu..na ukitaka uamini inafanya kazi vile watu wanatoa feedback za watu wao kurudi katika mstari...ujinga mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…