Nipo njia panda

Nipo njia panda

Anaesema mganga ni Mungu muogope kama ukoma!! Ukimuangalia katika ulimwengu wa roho utashangaa.
 
Mwenzangu hilo kojo wanasema unaweka kwa kizibo cha chupa ya Maji safi au juice zile unataja jina la huyo mtu mara saba kisha unasema utakacho afanye huyo bwana....... Huko kwenye magroup ya whatsapp Kuna kasheshe kwelikweli
Jesus halafu unakunywa?!!!!!!!!! Na unakuwa mkojo wa nani? 🙆🙆🙆🙆
 
Jesus halafu unakunywa?!!!!!!!!! Na unakuwa mkojo wa nani? [emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Wako mama wakoooo eeesh.... Huko kwenye magroup Kuna mazito mpaka hayawezekani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kazana na biashara inaweza fikisha malengo yako

Achana na shirki dear unabeba maagano yatakayokucost uko mbeleni
 
Nimecheka kwenye kojo jamani nimekumbuka mbali sana
 
Habarini wanazengo

Kama kichwa cha habari kinavyojielezea niko njia pandaaah!!
Nimefanikiwa kumaliza diploma in procurement and supply management nimejaribu kutafuta kazi sijapata mpaka sasa although nimejiajiri Ila kabiashara hakapo very strong kakusema niendeleze gurudumu la maisha

Short story

Nimemaliza form4 2014, 2015 nikawa na mipango ya kukwea pia ikafeli ila mungu si athumani nikampata sponsor’ akanipromise kunisomesha mpaka nichoke mwenyewe’ alhamdulillah nimemaliza diploma june mwaka huu kwa gpa ya second class. Mwezi wa nne mwaka huu akaniacha solemba[emoji24][emoji24] msgs anasoma ila HAJIBU nikimpigia kwa namba yoyote akijua ni mm tu anakata simu na block juu (sijui chanzo ni nn) na nategemea kwenda bachelor yeye ndio tegemeo langu,

Nikashauriwa nimnywee kojo, nimekunywa wiki nzima hamna lolote lilobadilika hali ni ile ile

Sasa ombi langu[emoji19] kwa anaefahamu MGANGA wa kweli jamani (nb: matapeli jamani please stay away sina hata ela)
Anisaidie nimrudishe huyu sponsor kwani bado nina ndoto za kuendelea kusoma
Nipo dar nahitaji mganga wa sehemu za karibu (dar/pwani/morogoro/tanga/mtwara) hizo ndio sehem naweza kuafford kufika.

Please awe wa uhakika

Nb: KILA MTU NA IMANI YAKE....

We ni mpuuzi, kama mtu kakusaidia mpaka Diploma jisogeze mwenyewe! Na unajua kwa nini hapokei na kaku block......

Huwa mnawazarau wanaowasaidia hawa mkiwa na mahusiano nao!
 
Jamani excuse meeeee wanazengo!!!! Mnaoni pm kua niwatumie hela ili mniunganishe na hao wataalamu.. my dears msijisumbue m mwenyewe hali yangu pangu pakavu Yan tia maji tia maji kma umeamua kunipa we nipe tu huyo mtaalumu nitakushukuru sana[emoji30] Ila kama unajua huwezi kunisaidia mpaka nikulipe’ hell NO!!! Hata usini pm
Watu wanatumia fursa vizuri
 
Wako mama wakoooo eeesh.... Huko kwenye magroup Kuna mazito mpaka hayawezekani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na wanaamini kabisa kuwa inafanya kazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli dunia ina visanga hiii[emoji134][emoji134][emoji134]
 
Kunywa mkojo wako dada ule wa asubuhi unaunywa huku wanuia maneno..unataja jina la mlengwa mara 7
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawa waganga watatuua walah!!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawa waganga watatuua walah!!!!
Yani acha tu..na ukitaka uamini inafanya kazi vile watu wanatoa feedback za watu wao kurudi katika mstari...ujinga mtupu
 
Back
Top Bottom