Nipo njia panda

Nipo njia panda

Habarini wanazengo

Kama kichwa cha habari kinavyojielezea niko njia pandaaah!!
Nimefanikiwa kumaliza diploma in procurement and supply management nimejaribu kutafuta kazi sijapata mpaka sasa although nimejiajiri Ila kabiashara hakapo very strong kakusema niendeleze gurudumu la maisha

Short story

Nimemaliza form4 2014, 2015 nikawa na mipango ya kukwea pia ikafeli ila mungu si athumani nikampata sponsor’ akanipromise kunisomesha mpaka nichoke mwenyewe’ alhamdulillah nimemaliza diploma june mwaka huu kwa gpa ya second class. Mwezi wa nne mwaka huu akaniacha solemba[emoji24][emoji24] msgs anasoma ila HAJIBU nikimpigia kwa namba yoyote akijua ni mm tu anakata simu na block juu (sijui chanzo ni nn) na nategemea kwenda bachelor yeye ndio tegemeo langu,

Nikashauriwa nimnywee kojo, nimekunywa wiki nzima hamna lolote lilobadilika hali ni ile ile

Sasa ombi langu[emoji19] kwa anaefahamu MGANGA wa kweli jamani (nb: matapeli jamani please stay away sina hata ela)
Anisaidie nimrudishe huyu sponsor kwani bado nina ndoto za kuendelea kusoma
Nipo dar nahitaji mganga wa sehemu za karibu (dar/pwani/morogoro/tanga/mtwara) hizo ndio sehem naweza kuafford kufika.

Please awe wa uhakika

Nb: KILA MTU NA IMANI YAKE....
Nicheck PM
 
Mwanzo ulimpataje hata akakubali kukusaidia? Inawezekana ulimsema kwa ubaya huko chuo na kuna mtu anamjua alikwenda mwambia mwenyewe ulicho kisema. Au maisha sasahivi kwake hayapo sawa shukuru kwa alicho kusaidia, mwanzo alikusaidia kwa roho safi. Kwanini wewe umlazimishe kwa roho chafu ya mganga?

Ndukiiiii [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️

Hahaha
Nilikutana nae tu sehemu.. ni kiongozi flani flani hivi
(Simlazimishi ila kwann abreak the promise bila sababu maalumu wakati ashanitumia sana tu[emoji24]
 
Pole sana hapo kwa mganga ebu kemea hilo pepo kabisa, Zidi kumuomba Mungu wako anaweza kukurudishia sponsor wako mama.

Hapo kwenye kumnywea mkojo nimecheka sana kwahiyo kojo halijafanya kazi [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sakayo ebu pita usikie habari za kojo

Kila siku naomba maybe ipo siku Mungu atasikia maombi yangu[emoji1431]
 
Nina access na wataalamu wa maeneo yafuatayo:
1. Kabuku - Tanga
2. Kiberege & Turiani - Morogoro
3. Fukayosi - BMoyo
Chagua mwenyewe wapi upo tayari! Masharti lazima nikupeleke! Siku nzuri ni Ijumaa mpk Jumapili na tutalala huko huko!

Siku nyingine usiseme MGANGA... sema MTAALAMU WA UFUNDI au FUNDI au MTAALAMU!
Mshana Jr huyu naweza mleta MSATA?

Mmh hapo kwenye kupelekana hapana’ ila ukiniconnectia na huyo wa tanga itakua vizuri zaidi
 
Hahaha
Nilikutana nae tu sehemu.. ni kiongozi flani flani hivi
(Simlazimishi ila kwann abreak the promise bila sababu maalumu wakati ashanitumia sana tu[emoji24]
Pole sana, kumbe kakutumia sana, samehe piga hatua nyingine, huwezi jua Mungu anakuepusha nini
 
Nina access na wataalamu wa maeneo yafuatayo:
1. Kabuku - Tanga
2. Kiberege & Turiani - Morogoro
3. Fukayosi - BMoyo
Chagua mwenyewe wapi upo tayari! Masharti lazima nikupeleke! Siku nzuri ni Ijumaa mpk Jumapili na tutalala huko huko!

Siku nyingine usiseme MGANGA... sema MTAALAMU WA UFUNDI au FUNDI au MTAALAMU!
Mshana Jr huyu naweza mleta MSATA?
Noma sana!
 
Dah...hizi ndiyo KAZI zangu....kumrudisha/kumfukuza mpenzi....Pete ya utajiri/umaskini ....kupanda cheo/kufukuzwa...kuteuliwa/kutumbuliwa..nk nk ..Tena kwa kutumia kompyuta.... Njoo pm fasta...tunakufuata ulipo...malipo kamili pale utakapopata unachokitaka [emoji2960]
Jf, ina v2ko sana!
 
Pole sana hapo kwa mganga ebu kemea hilo pepo kabisa, Zidi kumuomba Mungu wako anaweza kukurudishia sponsor wako mama.

Hapo kwenye kumnywea mkojo nimecheka sana kwahiyo kojo halijafanya kazi [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sakayo ebu pita usikie habari za kojo
Mpe namba za Mzee Palwa..Acha kubana..We mbona kakusaidia.[emoji12]
 
Habarini wanazengo

Kama kichwa cha habari kinavyojielezea niko njia pandaaah!!
Nimefanikiwa kumaliza diploma in procurement and supply management nimejaribu kutafuta kazi sijapata mpaka sasa although nimejiajiri Ila kabiashara hakapo very strong kakusema niendeleze gurudumu la maisha

Short story

Nimemaliza form4 2014, 2015 nikawa na mipango ya kukwea pia ikafeli ila mungu si athumani nikampata sponsor’ akanipromise kunisomesha mpaka nichoke mwenyewe’ alhamdulillah nimemaliza diploma june mwaka huu kwa gpa ya second class. Mwezi wa nne mwaka huu akaniacha solemba[emoji24][emoji24] msgs anasoma ila HAJIBU nikimpigia kwa namba yoyote akijua ni mm tu anakata simu na block juu (sijui chanzo ni nn) na nategemea kwenda bachelor yeye ndio tegemeo langu,

Nikashauriwa nimnywee kojo, nimekunywa wiki nzima hamna lolote lilobadilika hali ni ile ile

Sasa ombi langu[emoji19] kwa anaefahamu MGANGA wa kweli jamani (nb: matapeli jamani please stay away sina hata ela)
Anisaidie nimrudishe huyu sponsor kwani bado nina ndoto za kuendelea kusoma
Nipo dar nahitaji mganga wa sehemu za karibu (dar/pwani/morogoro/tanga/mtwara) hizo ndio sehem naweza kuafford kufika.

Please awe wa uhakika

Nb: KILA MTU NA IMANI YAKE....
Mkojo wako??....nani alikushauri??..
 
Hahaha
Nilikutana nae tu sehemu.. ni kiongozi flani flani hivi
(Simlazimishi ila kwann abreak the promise bila sababu maalumu wakati ashanitumia sana tu[emoji24]
Ndogo imepona?
 
Back
Top Bottom