Mie nilioa nikiwa na 45 na mke wangu 42 - She is still looking young 10 years later!
mtu B
huwajui waliooa vijana na wakashindwa kuzaa?
basi bora tumpe ushauri wa asioe mpaka mwanamke awe mjamzito..................na mimba ikitoka jee?
Sikujua kama wapo wengi hivi! Ushauri wa kuoa ajuza ni wa kuuogopa kama ukoma na ukimwi!
Huyo wa 26 hata kama anataka mimba ni haki yake, ndio wakati wake. Huyo wa 34 hata ukimpa hiyo mimba atakwenda kiliniki na labour akiwa 35 akakutane na wa miaka 20 mbona aibu! Halafu hapo ni kama ana bahati ya kuipata hiyo mimba. Na wataalamu wanatuambia umri unaofaa kupata mimba usizidi 35, sasa niambie kaka unataka kuchukua kitu siku ya expiry date?
Hapa ni oldies wanatetea oldies wenzao ili tuzoee tuone ni kawaida, lakini kamwe haifai. Ni sawa na gays wanavyojitahidi kutushawishi kuwa ndoa zao ni sahihi, na wanalisema mara nyingi na kupiga kelele sana ili baadae izoeleke na kukubalika kama ambavyo tumeona.
Ndoa baina ya kijana na ajuza haikubaliki, napinga kabisa. Hao wakaolewe na wazee wenzao wafarijiane kimtindo. Lakini kama ni suala la kumega tu, poa, lakini kuoa itakula kwako kaka.
Ishu haiishii kwenye kuzaa tu, kuna suala la kushindwana shauri ya generation gap. Ajuza hafai bana.
inawezekana kabisa ni member wa JF:lie:Sasa mkuu Zimbo,
hao wachumba wawili huwa hawaingii humu JF? maana naona umetoa maelezo ya kutosha kiasi cha wao kujijua endapo watasoma thread yako. Ningependa kama kwenye maelezo yako ungejutia makosa uliyofanya/unayofanya kwanza badala ya kusingizia nguvu za kimapenzi.
On this advise, if I was to make a choice I would go for the mature one if this is the kind of myopic thinking represented in terms of age as a basis of argument. Aisee kazi ipo....
The issue is not choice between the 2 women its values, and not of the 2 women lkn thread starter...
hilo neno kweny red hapo, unalitumia vibaya sana, sijajua ni kwa kiasi gani unalijua maana yake halisi,
ama ni usasa wa lugha? ama lah! maana ajuza sifikirii kama anaweza hata kuwa ktk hali ya kuweza kutamaniwa, hebu fuata kamusi au tafuta wataalamu wa lugha hii adhimu ya kiswahili wakupe nini maana ya ajuza,
maana unaonekana umelikariri tu pasi na kujua matumizi yake hivyo kuweza kudhani linaingia kila pahala