Nipo Njiani kwenda Zanzibar kumuona Simba Tundu Lissu ambaye Rais amempa jina Hilo

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
28,297
Reaction score
68,017
Habari za weekend Wakuu!

Nipo Njiani nakaribia Zanzibar Kwa Lengo la kumwona Simba Tundu Lisu àmbaye Mhe. Rais Samia amempa jina Hilo.

Nikifika nitakutana na Watu WA eneo Hilo wanipe background ya Simba huyo. Kisha nitaomba nikutane n Mhe. Rais ili nimuulize nini kilimvuta kumpa Simba huyo jina la Tundu Lisu.

Then, nitaandika kijitabu cha riwaya ambacho kitaenda Kwa Jina Simba Tundu Lisu.
Ujûmbe na màtukio nitavipata baàda ya kupata abc za huyo Simba.
Kisha riwaya itaishia pale àmbapo Simba Tundu Lisu aliyekuwa bandani, kukutana na Malkia Mwanamke aliyemtoa bandani Kwa kupenda machachari yake.

Kisha Malkia Mwanamke atampa majukumu simba Tundu Lisu kuleta machachari katika kasri lake na ûtawala wake.
Ukali wa Simba Tundu Lisu nimeshindwa kuukadiria, huu NI Mpaka nifike nishuhudie mwenyewe

Ila najiuliza Ukali WA Simba Tundu Lisu aliyebandani unasababishwaga na Jambo gàni?
Je Njaa?
Je kuchokozwa?
Je kuonewa au kuona Wanyama wengine waliomo bandani wakionewa?

Je Simba Tundu Lisu hujisikiaje akiona Mbwa aina ya German shepherd wakiambatana na Malkia?

Hayo yôte nitayauliza Huko.

Safari ya Zanzibar kunoga.

Robert Heriel
Taikon WA Fasihi
Mbioni kukabili Stone town, Zanzibar
 
Nalo neno
 
Mama Abdul mchokozi sana
 
..Tundu Lissu ana kipaji cha siasa, na ujasiri ktk harakati.

..Ukweli huo ndio unaowasumbua watawala, na hata Rais Samia, kiasi cha kujikuta wanataja jina la Lissu hata mahali wasipotarajiwa.
 
Habari za weekend Wakuu!

Nipo Njiani nakaribia Zanzibar Kwa Lengo la kumwona Simba Tundu Lisu àmbaye Mhe. Rais Samia amempa jina Hilo.

Nikifika nitakutana na Watu WA eneo Hilo wanipe background ya Simba huyo. Kisha nitaomba nikutane n Mhe. Rais ili nimuulize nini kilimvuta kumpa Simba huyo jina la Tundu Lisu.

Then, nitaandika kijitabu cha riwaya ambacho kitaenda Kwa Jina Simba Tundu Lisu.
Ujûmbe na màtukio nitavipata baàda ya kupata abc za huyo Simba.
Kisha riwaya itaishia pale àmbapo Simba Tundu Lisu aliyekuwa bandani, kukutana na Malkia Mwanamke aliyemtoa bandani Kwa kupenda machachari yake.

Kisha Malkia Mwanamke atampa majukumu simba Tundu Lisu kuleta machachari katika kasri lake na ûtawala wake.
Ukali wa Simba Tundu Lisu nimeshindwa kuukadiria, huu NI Mpaka nifike nishuhudie mwenyewe

Ila najiuliza Ukali WA Simba Tundu Lisu aliyebandani unasababishwaga na Jambo gàni?
Je Njaa?
Je kuchokozwa?
Je kuonewa au kuona Wanyama wengine waliomo bandani wakionewa?

Je Simba Tundu Lisu hujisikiaje akiona Mbwa aina ya German shepherd wakiambatana na Malkia?

Hayo yôte nitayauliza Huko.

Safari ya Zanzibar kunoga.

Robert Heriel
Taikon WA Fasihi
Mbioni kukabili Stone town, Zanzibar
Naona huu Sasa kama ni uchochezi vile!
 
Screenshot_20240825-174203_1.jpg
 
Back
Top Bottom