Nipo Nyamisati, nimeambiwa nilale siku mbili ndipo nitapata usafiri wa kuelekea Mafia

Hapo nyamisati mida ya jioni kuna wale mmbu wanao sababisha mabusha
Wengi balaaaaa
Baharia kama ss hapo tulikuwa tunavaa kama maninja + mambo yetu vitu vikali kuchangamsha mwili [emoji1]

Ova
Wale mbu wanatoboa hadi net
 
Tumia ndege kama hutojali Mkuu
 
Pole sana, Mafia nimeanza kusikia shida ya Usafiri muda mrefu mno, sijui kwanini hawawezi kutatua hili shida.
Ahsante mkuu

Kwakweli inashangaza sana
 
Vp mmbu hapo umewaonaje

Hivi mv potwe na mv jubini bado zipo

Ova
Kwasasa mbu bado sijawaona labda mida yao bado

Hizo hazipo itakuwa labda za kitambo hizo mkuu
 
Hapo nyamisati mida ya jioni kuna wale mmbu wanao sababisha mabusha
Wengi balaaaaa
Baharia kama ss hapo tulikuwa tunavaa kama maninja + mambo yetu vitu vikali kuchangamsha mwili [emoji1]

Ova

Kwani hupendi busha ??
 
Haya makero hayajakoma tu? Mshana Jr alikaa huko wiki akingoja usafiri. Kwa namna hii je hatupotezi watalii wa ndani na wa nje wenye nia ya kutembea Mafia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…