balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Wandengereko hao siyo wamakonde.Wazee wa kutedi haoRudi kalale Bungu pana unafuu ila makinika na watoto wa kimakonde [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wandengereko hao siyo wamakonde.Wazee wa kutedi haoRudi kalale Bungu pana unafuu ila makinika na watoto wa kimakonde [emoji23]
Kuna yale ya makhaba na kuna yale ya kilozi [emoji23]Na siwezi kupata nlishapiga chanjo muda sana boss
[emoji1] we busha la nini tena au la kuvalia msuli
Ova
Hiyo route imeshatelekezwa kitambo wakati pana utalii wa kutosha sanaHaya makero hayajakoma tu? Mshana Jr alikaa huko wiki akingoja usafiri. Kwa namna hii je hatupotezi watalii wa ndani na wa nje wenye nia ya kutembea Mafia?
Hao sasa ni balaa na robotatu wamevuka nusuWandengereko hao siyo wamakonde.Wazee wa kutedi hao
Inawezekana maana Mv Kilindoni ya Serikali iko kwenye ukarabati, meli iliyopo now ni ile private.Habari wanabodi
Leo nimefika hapa Nyamisati mida asubuhi nimeambiwa tiketi nimeshakosa napaswa nisubiri hadi Jumatano au Alhamisi ndipo meli itatoka tena kuelekea Mafia.
Hiyo bado haitoshi kuna watu ambao wamebahatika kukata tiketi leo wao wameniambia wana siku ya nne tokea wafike hapa, usafiri ni shida.
Inasikitisha sana na gharama za maisha zilivyo juu mtu anafika hapa bandarini anaambiwa anapaswa asubiri siku kadhaa ndipo asafiri
Na hili pia mkaliangalie
Nawasilisha
Duh...Tanzania hii hii....Habari wanabodi

Ukiganikiwa kugika Mafia kawasalimie Jumba la DhahabuHabari wanabodi