Nipo Nyamisati, nimeambiwa nilale siku mbili ndipo nitapata usafiri wa kuelekea Mafia

Unakwenda Huko Epuka Nyama Sana Vinginevyo Kasa Atakulaza
 
Habari wanabodi

Leo nimefika hapa Nyamisati mida asubuhi nimeambiwa tiketi nimeshakosa napaswa nisubiri hadi Jumatano au Alhamisi ndipo meli itatoka tena kuelekea Mafia.

Hiyo bado haitoshi kuna watu ambao wamebahatika kukata tiketi leo wao wameniambia wana siku ya nne tokea wafike hapa, usafiri ni shida.

Inasikitisha sana na gharama za maisha zilivyo juu mtu anafika hapa bandarini anaambiwa anapaswa asubiri siku kadhaa ndipo asafiri

Na hili pia mkaliangalie

Nawasilisha
Inawezekana maana Mv Kilindoni ya Serikali iko kwenye ukarabati, meli iliyopo now ni ile private.

Ila kabla Mv Kilindoni kuja safari zilikuwa J2, j5 na Ijumaa tu, nilienda huko 2020.
 
Habari wanabodi

Leo nimefika hapa Nyamisati mida asubuhi nimeambiwa tiketi nimeshakosa napaswa nisubiri hadi Jumatano au Alhamisi ndipo meli itatoka tena kuelekea Mafia.

Hiyo bado haitoshi kuna watu ambao wamebahatika kukata tiketi leo wao wameniambia wana siku ya nne tokea wafike hapa, usafiri ni shida.

Inasikitisha sana na gharama za maisha zilivyo juu mtu anafika hapa bandarini anaambiwa anapaswa asubiri siku kadhaa ndipo asafiri

Na hili pia mkaliangalie

Nawasilisha
Duh...Tanzania hii hii....

Wapi Mama.
 
Ukiganikiwa kugika Mafia kawasalimie Jumba la Dhahabu
 
Back
Top Bottom