Kichaafulani
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 1,295
- 1,273
Hahaha si uvae wig? anyway pesa kiasi gani inakutosha kwenda salon kufanya nywele zako bidada?Haya nitumie hela ya saluni maana nywele zangu ziko tim tim nisije nikakuaibisha huko[emoji6]
Sivaagi mawigi mimi. Nitumie laki moja tu itanitosha[emoji8]Hahaha si uvae wig? anyway pesa kiasi gani inakutosha kwenda salon kufanya nywele zako bidada?
Haya nitumie hela ya saluni maana nywele zangu ziko tim tim nisije nikakuaibisha huko[emoji6]
Vipi tena ndugu? Tafadhali usinitilie mchanga kwenye kitumbua changu![emoji53]ndiyo tatizo la mademu wa kibongo....matatizo full time
Ok advise number yako tafadhaliSivaagi mawigi mimi. Nitumie laki moja tu itanitosha[emoji8]
Ok advise number yako tafadhali
Asante sana, sijawahi kutana na mdada muelewa kama wewe JF umeniamini pakubwa sana kunipatia namba yako, nakutumia soon ila usiingie mitini sasaNishakutumia PM hapa wenye vijicho ni wengi wasije niharibia😁
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Haya nitumie hela ya saluni maana nywele zangu ziko tim tim nisije nikakuaibisha huko[emoji6]
Katu siwezi kukuangusha!😉Asante sana, sijawahi kutana na mdada muelewa kama wewe JF umeniamini pakubwa sana kunipatia namba yako, nakutumia soon ila usiingie mitini sasa
Mkuu mbona wacheka? Na wewe nikuPM namba yangu unitumia hela ya make up?😉[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Asante sana my.... to beKatu siwezi kukuangusha!😉
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu mbona wacheka? Na wewe nikuPM namba yangu unitumia hela ya make up?[emoji6]
Huo ubahili umeuanza lini mbona hukuwa hivyo? Au ndo athari za vyuma kukaza?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ujue ukifunga hicho kilemba chako unapendeza sana.
Mwenye uwezo wa kufanya make up ni Mungu pekee na natumaini ameshalifanya hilo haina haja ya kumkosoa.
Umesahau siri ya utajiri ni ubahili, sasa nimeamua kuanza safari ya kuutafuta Ukwasi.Huo ubahili umeuanza lini mbona hukuwa hivyo? Au ndo athari za vyuma kukaza?
1. Naomba maana ya hiki kitu.Uchumi
Uliulizwa kwa nini Tz ni top 5 Africa kwa raslimali lakini bado ni maskini, ukajibu, " kwa sababu ya ubinafsi wa viongozi". Sasa umekuja na majibu mengine ya kuwapongeza viongozi hao hao!Nitawapongeza kwa uongozi mzuri nitawaambia wakaze hapohapo
Usisahau kuwa mkono utoao ndio upokeao!Umesahau siri ya utajiri ni ubahili, sasa nimeamua kuanza safari ya kuutafuta Ukwasi.
hiyo ni torati mkuu acha utani na vitu ambavyo sio vya utaniHata kuhesabiwa hutaenda?
Cc Nleterewa Nganengo