Nipo online niulize chochote kuhusu mimi

Nipo online niulize chochote kuhusu mimi

Mkuu mbona wacheka? Na wewe nikuPM namba yangu unitumia hela ya make up?[emoji6]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ujue ukifunga hicho kilemba chako unapendeza sana.
Mwenye uwezo wa kufanya make up ni Mungu pekee na natumaini ameshalifanya hilo haina haja ya kumkosoa.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ujue ukifunga hicho kilemba chako unapendeza sana.
Mwenye uwezo wa kufanya make up ni Mungu pekee na natumaini ameshalifanya hilo haina haja ya kumkosoa.
Huo ubahili umeuanza lini mbona hukuwa hivyo? Au ndo athari za vyuma kukaza?
 
1. Naomba maana ya hiki kitu.

EUR/USD 1.55889

2. JE NINI kinapelekea shilingi ya tanzania kushuka?

3. Je nini impact ya maden kwenye uchumi wa nchi?

4. Kwann purchessing power ya watu imeshuka hapa tz?
 
Nitawapongeza kwa uongozi mzuri nitawaambia wakaze hapohapo
Uliulizwa kwa nini Tz ni top 5 Africa kwa raslimali lakini bado ni maskini, ukajibu, " kwa sababu ya ubinafsi wa viongozi". Sasa umekuja na majibu mengine ya kuwapongeza viongozi hao hao!
Swali; 1. Unaweza ukatutajia chuo. ulichosomea shahada yako ya pili?
2. Unaweza ukatutajia jina la mwalimu aliyekufundisha somo la "macro economics"
 
Back
Top Bottom