Nipo online niulize chochote kuhusu mimi

ukipata nafasi ya kuonana na viongoz wetu wa ngazi za juuu utawaambia nini au kuwashauri nini kwa maendeleo ya Tz
 
Nani aliyesababisha muachane,kati yako na mmeo?? mlifanikiwa kupata watoto? Je kwa sasa hali ya mahusiano yako ikoje?Je unatafuta mchumba mwingine kwa sasa? Mara ya mwisho kufanya mapenzi ilikuwa lini?
 
Mimi natka kukuoa nafanyajee maana malovelove yamenipandaa kinyaaaaaaaaa na mafilings yamenijaaaaaaa
nipe maconection maana niko serious mkuuuuuuuuuu mafilingssss nawewe weeeeee yaaaaniiiiiiiii achaaa kabisaaaaaa
 
Kweli wajinga hawaishi duniani! Kuna uhusiano gani kati ya kuwa na master's na j3 kuwa uraiani? Kwani uliambiwa kila mwenye master's hana likizo?
 
ukipata nafasi ya kuonana na viongoz wetu wa ngazi za juuu utawaambia nini au kuwashauri nini kwa maendeleo ya Tz
Nitawapongeza kwa uongozi mzuri nitawaambia wakaze hapohapo
 
Nani aliyesababisha muachane,kati yako na mmeo?? mlifanikiwa kupata watoto? Je kwa sasa hali ya mahusiano yako ikoje?Je unatafuta mchumba mwingine kwa sasa? Mara ya mwisho kufanya mapenzi ilikuwa lini?
Kutofautiana mtazamo wa maisha, ndiyo tulipata mmoja .sitafuti mchumba tena
 
Mimi natka kukuoa nafanyajee maana malovelove yamenipandaa kinyaaaaaaaaa na mafilings yamenijaaaaaaa
nipe maconection maana niko serious mkuuuuuuuuuu mafilingssss nawewe weeeeee yaaaaniiiiiiiii achaaa kabisaaaaaa
Pole sina mpango wa kuolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…