Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imefanyaje mrembo..[emoji23][emoji23]
Jf bana
Kweli wajinga hawaishi duniani! Kuna uhusiano gani kati ya kuwa na master's na j3 kuwa uraiani? Kwani uliambiwa kila mwenye master's hana likizo?Hauwez sema uulizwe chochote lakn maswal mengne hayatuhusu, masters yako inanipa shda kuielewa
Una masters
Single mother
Hautak tena mahusiano
J3 tangu asubuh upo kujitetea mbele ya rai weng (jns gan hauna kaz maalum ya kufanya)
Pole kwa kipnd kigum unachopitia, pole sana monica
Ulifanya vizuri.Niliolewa nikaachika
Kutofautiana mtazamo wa maisha, ndiyo tulipata mmoja .sitafuti mchumba tenaNani aliyesababisha muachane,kati yako na mmeo?? mlifanikiwa kupata watoto? Je kwa sasa hali ya mahusiano yako ikoje?Je unatafuta mchumba mwingine kwa sasa? Mara ya mwisho kufanya mapenzi ilikuwa lini?
HahahaUlifanya vizuri.
Pole sina mpango wa kuolewaMimi natka kukuoa nafanyajee maana malovelove yamenipandaa kinyaaaaaaaaa na mafilings yamenijaaaaaaa
nipe maconection maana niko serious mkuuuuuuuuuu mafilingssss nawewe weeeeee yaaaaniiiiiiiii achaaa kabisaaaaaa