Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hahahaha ata punch tu unafikiri atakwambia hana shughuli, japo kihalisia anaweza akawa mdangaji tu!Swali gumu sana kwa wanawake wa mjini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha ata punch tu unafikiri atakwambia hana shughuli, japo kihalisia anaweza akawa mdangaji tu!Swali gumu sana kwa wanawake wa mjini
For sure lazima adange hata kama ana shughuli nzuri tuHahahaha ata punch tu unafikiri atakwambia hana shughuli, japo kihalisia anaweza akawa mdangaji tu!
ewaaaaa, kama hadi sasa tupo hakuna kurudi tena kijijiniHahhahhaha na tupo navyo hivyohivyo haendi mtu kijijini
Hata kuhesabiwa hutaenda?ewaaaaa, kama hadi sasa tupo hakuna kurudi tena kijijini
Aisee, siku hizi mambo yamerahisishwa sasa ni mwendo wa kuhesabiwa online.Hata kuhesabiwa hutaenda?
Cc Nleterewa Nganengo
Naomba niinunue hiyo avatar yako tafadhaliHahahahaa.. nimeficha nisijulikane sana. Nafuata maelekezo ya kutumia avatar zetu au zinazoendana na sisi. Sasa hiyo ni mimi nimeficha sura ya baba tu hapo
Basi wewe ni jirani yangu kabisa, tunaweza panga kuonana tunywe na kula pamoja?Goba
Ala kumbe! Hivi mwahesabiwa online kwa sababu ya usasa au ukata?[emoji848]Aisee, siku hizi mambo yamerahisishwa sasa ni mwendo wa kuhesabiwa online.
Yote ni majibu sahihi.Ala kumbe! Hivi mwahesabiwa online kwa sababu ya usasa au ukata?[emoji848]
Vipi mbege na kisusio navyo vinapatikana online?Yote ni majibu sahihi.
Online Leo kuna raha, kumbe thad ni mchagaVipi mbege na kisusio navyo vinapatikana online?
Umejiuliza au umejijibu?Online Leo kuna raha, kumbe thad ni mchaga
Bila shaka kabisa, unaweka tu order yako online unaletewa mpaka ulipo.Vipi mbege na kisusio navyo vinapatikana online?
NimejiulizaUmejiuliza au umejijibu?
Haya naomba niletewe mbege lita 5 na kisusio kg 5 niianze weekend mie![emoji39][emoji39][emoji39]Bila shaka kabisa, unaweka tu order yako online unaletewa mpaka ulipo.
Natoroka kazini pia, wapi huko nije na ndafuHaya naomba niletewe mbege lita 5 na kisusio kg 5 niianze weekend mie![emoji39][emoji39][emoji39]
Njoo huku Nyantira- KitundaNatoroka kazini pia, wapi huko nije na ndafu
Nakuja huko , labda nikute director kapaki mbele yanguNjoo huku Nyantira- Kitunda
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Haya naomba niletewe mbege lita 5 na kisusio kg 5 niianze weekend mie![emoji39][emoji39][emoji39]
Umepapendea nini? Au kisusio hakipimwi kwa kg?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji85][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimepapenda hapo kwenye kisusio kg 5.
Ombi lako limeshaanza kushughulikiwa.