Nipo safarini Kahama, ofisi za CCM zipo wapi nikachukue fomu nigombee hapa

Nipo safarini Kahama, ofisi za CCM zipo wapi nikachukue fomu nigombee hapa

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,734
Reaction score
140,476
Kichwa cha habari kinaeleweka vizuri tu.

Wenyeji wa wilaya hii mnisaidie kujua ilipo ofisi ya chama hapa mjini

Japo mimi ni mpita njia tu nipo kikazi hapa Kahama kwenu lakini sio mbaya nikitia nia halafu nikapita zangu wiki ijayo.

Fomu mnatoa shilingi ngapi hapa, hela ya maji ya mweshimiwa mtoa fomu ikoje

Nijuzeni kijiwe kikubwa cha kahawa ili nikaongee na chap na wazee kujua matatizo ya wananzengo.

Kingine mganga mzuri wa kusafisha nyota anapatikana wapi? Naomba iwe mganga ambaye hagombei ubunge,kama wote wanagombea basi mniunganishe hata na mganga wa Msalala
 
Pole Sana Maana Umechelewa Mwisho Ni Leo. Jitahidi Ushuke Dodoma Ukitoka Kahama Ili Uone Mwenyewe Tutakavyofanya Kazi Ya Kukata Bila Woga
 
Fomu zipo hapo OFISI ZA CCM karibu na uwanja wa Barcelona, mganga anapatikana Marunga au mitaa ya phantom jirani na kiwanda cha ndegesera
 
Back
Top Bottom