maujanja supplier
Senior Member
- Aug 8, 2012
- 103
- 115
Inasikitisha sanaView attachment 1122082
Kama picha inavyojionesha ndugu, wenye uzoefu na ujuzi nipeni maoni na ushauri, taie home 500
Achana nae huyo mshamba wa Tandahimba hajielewiNinaongelea watu ambao tupo busy kweli kweli kupata huo muda wa kwenda kununua nyanya za mia 2 kila siku gengeni, unachukulia kuwa na fridge ni anasa?
Huna AKILI kabisaMkuu hebu acha kulisha watu matango pori!?? Km mtu unasema ana huo u busy huo muda wa kupika anautoa wapi!?? Yaani upate muda wa kupika halafu ukose muda wa kununua nyanya na nyama Dar es salaam hii!?? Huyu ni mpumbavu awala siyo mjinga. Na hizi ni akili za masikini..si unaona hata sadaka anatoa zaidi kuliko alizowapa ndugu!?? Huwezi kufanikiwa kwa mtindo huo wa maisha. Kama hana muda kiasi hicho kwa nn apike,si ale kwa mama lishe!?? Unanunua fridge kwa gharama kubwa,halafu unaongeza gharama za umeme kwa ajili ya kuweka wali wa shilingi elfu 1 uliobaki!!??
Afu anagonga mayai ya buku 2 kwa week!! Jamaa anagonga ubwabwa na ugali tu yani... afu bajeti ya nguo kwa wiki nadhani ana mpango wa kuwa miss Daslam... hii haimaanishi nimehusisha bajeti yake ya TANGOKwa mwezi ni laki 9.
Bado kuna dharura, gesi , bills za maji na umeme.
Mchele na nyama, huwezi pika robo tuu kwa wiki.
Andaa 1M kila mwezi.
Mwambie aache ujinga.
Hahaha!Sisi tupite tuNa sisi tunaogombania maandazi na madogo tunaruhusiwa kuchangia mkuu!?
Wewe Mzee wewe mbona kwenye TANGO umekoleza? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ni vibaya kula tango?Afu anagonga mayai ya buku 2 kwa week!! Jamaa anagonga ubwabwa na ugali tu yani... afu bajeti ya nguo kwa wiki nadhani ana mpango wa kuwa miss Daslam... hii haimaanishi nimehusisha bajeti yake ya TANGO
Yaani umeona hapo tu?Wewe Mzee wewe mbona kwenye TANGO umekoleza? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ni vibaya kula tango?
Ulitaka nione na wapi na wakati hapo ndiyo pamekolezwa?Yaani umeona hapo tu?
Pamekukoleza? Au na wewe unatumia tango moja kwa wiki?Ulitaka nione na wapi na wakati hapo ndiyo pamekolezwa?
Ndiyo jembamba.Pamekukoleza? Au na wewe unatumia tango moja kwa wiki?
Khaaa! Bamia?Ndiyo jembamba.
Na ndizi na karoti.
Bamia pia na biringanya nakulaga.Khaaa! Bamia?
Afadhali maana mi nna shamba la bamia. Naomba uwe mteja wangu. SitakuangushaBamia pia na biringanya nakulaga.
Sawa, unitumie tuu lokesheni.Afadhali maana mi nna shamba la bamia. Naomba uwe mteja wangu. Sitakuangusha
Nakusubiria PM ujueSawa, unitumie tuu lokesheni.
SawaaaaaaNakusubiria PM ujue
Still waiting. Mahindi nshayachoma sana ujueSawaaaaaa