Nipo single, haya ni Matumizi yangu ya wiki moja - nipe ushauri

Nipo single, haya ni Matumizi yangu ya wiki moja - nipe ushauri

Hu
Mkuu hebu acha kulisha watu matango pori!?? Km mtu unasema ana huo u busy huo muda wa kupika anautoa wapi!?? Yaani upate muda wa kupika halafu ukose muda wa kununua nyanya na nyama Dar es salaam hii!?? Huyu ni mpumbavu awala siyo mjinga. Na hizi ni akili za masikini..si unaona hata sadaka anatoa zaidi kuliko alizowapa ndugu!?? Huwezi kufanikiwa kwa mtindo huo wa maisha. Kama hana muda kiasi hicho kwa nn apike,si ale kwa mama lishe!?? Unanunua fridge kwa gharama kubwa,halafu unaongeza gharama za umeme kwa ajili ya kuweka wali wa shilingi elfu 1 uliobaki!!??
Huna AKILI kabisa
 
Kwa mwezi ni laki 9.
Bado kuna dharura, gesi , bills za maji na umeme.
Mchele na nyama, huwezi pika robo tuu kwa wiki.
Andaa 1M kila mwezi.
Mwambie aache ujinga.
Afu anagonga mayai ya buku 2 kwa week!! Jamaa anagonga ubwabwa na ugali tu yani... afu bajeti ya nguo kwa wiki nadhani ana mpango wa kuwa miss Daslam... hii haimaanishi nimehusisha bajeti yake ya TANGO
 
Tafuta MKE haraka upunguze matumizi..........mbumbumbu hawataelewa
 
Afu anagonga mayai ya buku 2 kwa week!! Jamaa anagonga ubwabwa na ugali tu yani... afu bajeti ya nguo kwa wiki nadhani ana mpango wa kuwa miss Daslam... hii haimaanishi nimehusisha bajeti yake ya TANGO
Wewe Mzee wewe mbona kwenye TANGO umekoleza? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ni vibaya kula tango?
 
Mi nawashangaa hata mnaoangaika kumsapoti,,,,,huyu jamaa hajawahi kukifahamu kitu kinachoitwa maisha magumu ya hali ya chini...

Nakumbuka mama angu ilikua kila inapofika mida ya kupika chakula basi alikua ananituma kununua mafuta ya kula ya Sh 100, nyanya za Sh 200 na kitunguu cha Sh 100,,,,baada ya hapo tunaenda kucheza dakika kadhaa na tukirudi tunakuta msosi mmoja matata sana upo kwenye sinia na hauna kasoro hata moja.

Sasa nyie wakishua umeshazoeshwa kula na kufanya vitu visivyokuwa na ulazma Wa kula wala kufanya........ndo basi tena
 
Back
Top Bottom