Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Daaahh, na mimi nimechoma 156,900/= kuanzia tarehe 1/6/2019 hadi 8/6/2019.
Kucontrol matumizi huku ukiminimize inahitaji umakini sana
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Teh ...
Mwisho wa mwez hatutaki kuskia kelele za nmb humu
WTu huwa wana kelele sana
Teh ...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Utatusikia tu wala usijali
Nyie pambanen mm huo utumwa nshaukataa aisee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Utatusikia tu wala usijali
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sadaka ....
Teh ...
Unasali wapi kwa buldoza [emoji1]
Weka utaratibu huu natumaini unalo fridge
Mchele kg 10 (16,000 - 22,000) - humalizi kwa mwezi
Samaki sato kg 2 (20,000)-utagawa kwa siku 4 (funga separate)
Nyama kg 2 (12,000) - siku 8 (1/4
Kg kwa siku)
Kuku 2 (15,000) - siku 4 (1/4 per day)
Nyanya sado 1 (4000-5000)
Vitunguu sado 1 (3000)
Bamia, hoho, karoti - (6,000)
Mafuta lita 3 - (17,000)
Tambi 2 (3000)
Unga kilo 5 - (10,000)
Maharage kilo 2 - 4000
Viazi ndoo ndogo - 7000
Na vingine vidogo vidogo - 15,000
Jaza fridge lako hapo unatoboa mwezi hayo mengineyo akili kumkichwa
Me hata sikumbuki ni ngp?na hivi nipo roughly,itakuwa imekata 200,000 n.k.Maana tangu alhamisi mpaka leo 60,000Daaahh, na mimi nimechoma 156,900/= kuanzia tarehe 1/6/2019 hadi 8/6/2019.
Kucontrol matumizi huku ukiminimize inahitaji umakini sana
Weka jumla basi,Weka utaratibu huu natumaini unalo fridge
Mchele kg 10 (16,000 - 22,000) - humalizi kwa mwezi
Samaki sato kg 2 (20,000)-utagawa kwa siku 4 (funga separate)
Nyama kg 2 (12,000) - siku 8 (1/4
Kg kwa siku)
Kuku 2 (15,000) - siku 4 (1/4 per day)
Nyanya sado 1 (4000-5000)
Vitunguu sado 1 (3000)
Bamia, hoho, karoti - (6,000)
Mafuta lita 3 - (17,000)
Tambi 2 (3000)
Unga kilo 5 - (10,000)
Maharage kilo 2 - 4000
Viazi ndoo ndogo - 7000
Na vingine vidogo vidogo - 15,000
Jaza fridge lako hapo unatoboa mwezi hayo mengineyo akili kumkichwa
Ya dawasco hayafai?[emoji23][emoji23][emoji23]Maji Lita 3 .....17000/=!!!!!!!
Umsaidie vipi?Naomba nije nikusaidie, maana hela yote hiyo kutumia mwenyewe ndani ya wiki ni matumizi mabaya ya rasilimali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Me hata sikumbuki ni ngp?na hivi nipo roughly,itakuwa imekata 200,000 n.k.Maana tangu alhamisi mpaka leo 60,000