Nipo single, haya ni Matumizi yangu ya wiki moja - nipe ushauri

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Halaf baada ya hapo hawashtuki bado wanaendelea kupeleka tu yaani duniani Kuna watu ni misukule
hakuna watu wapuuzi na wakuda duniani kama waumini wa dini na siasa( art of reasoning ni ndogo sana)
 
Hata mm mkuu huwa nafanya hvyo na mke wangu.
Yaani najaza mazaga yote kwenye friji na baada ya hapo nafanya kuongezea tu kila wiki.
Unashangaa wiki nzima natumia elfu 50 tu na naenjoy sana yaani full masamaki,manyama na makuku kwenye friji plus mboga za majani hadi raha.
fresh sana, yaani huwazi tena ukirudi sometimes job anachukua matunda matunda tu mkuu, na kama una mke ambaye sio wa hovyo kwny matumizi hakika utaenjoy zaidi.
 
Aisee watu mna maisha safi yasiyo na taabu.
Mimi nilifanikiwa kuongeza uumbaji wa Mungu kwa kiasi cha wastani nina watoto 5,mke 1,tuna Dada wa kazi 1 so jumla tupo 8,watoto 4 wapo medium schools.
Bahati nzuri naishi kwenye kibanda changu /sipangi.
Mshahara ni 1.5M.
So nikiona hiyo bajeti yako nacheka means leo nikikupa familia kwa muda siku tatu nitakuta umeitoroka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji6][emoji23][emoji23]
Hahaha
 
fresh sana, yaani huwazi tena ukirudi sometimes job anachukua matunda matunda tu mkuu, na kama una mke ambaye sio wa hovyo kwny matumizi hakika utaenjoy zaidi.
Ndio hvyo mkuu yaani nimeshangaa naishi kishua kwa hela ndogo sana hadi nikajilaumu kwa nn nimechelewa kuoa.
 
Sa ndugu yangu hiyo sadaka yote ya nini sasa? Au we ndo wanakutegemea kwenye ujenzi wa kanisa?
hapo nakushauri sadaka toa 500 afu ndugu wape 10,000
kazi unakuwa umemalza
 
View attachment 1122082
Kama picha inavyojionesha ndugu, wenye uzoefu na ujuzi nipeni maoni na ushauri, taie home 500
Kwa wiki zaidi ya 200k ni nyingi sana na hapo upo single ukioa utajuta.Jaribu kubana matumizi kwa kuangalia vitu vifuatavyo:

Gharama za kupika kama uko single au MTU mmoja ni juu sana kuliko mkiwa wawili au watatu kwani nishati inayotumika kupikia ni ile ile na Mara nyingi chakula hubaki na kuharibika.

Angalia alternative ya kula kwa mama ntilie anayeeleweka gharama zao kwa mlo ni wastani wa tsh 2000x14Mchana na usiku kwa siku 7 ni 28,000/-Asubuhi Chai/supu ya 2000x14 ni 28,000/-Jumla 56,000/-Hapa unaweza kupunguza matumizi zaidi ya nusu.

Angalia matumizi ya lazima na yasiyo ya lazima, fanya ya lazima achana na yasiyo ya lazima.

Pesa inayobaki wekeza kwenye miradi ikutengenezee pesa na faida unayopata ndo unatoa 10%kama sadaka.

Ukienda kwa mtindo huo,hutafika mbali kwani inaonesha unafanya kazi na siku ikiondoka hiyo kazi ndo utajua ukubwa wa matumizi yasiyo ya lazima unayoyafanya sasa.

Akili za kuambiwa changanya na za kwako.
 
Unafuu wako upo kwenye
Nauli 6000
Bodaboda 2000.
Iwonder hyo boda huwa unapanda kwa sh. Ngapi?
Hyo nauli ya 6000 raha sana matumizi mazuri.
Hayo mayai 3000 maana yake unakula mayai 10 kwa week..dah angalia sana mzee baba
 
Unafuu wako upo kwenye Nauli 6000 Bodaboda 2000.
Iwonder hyo boda huwa unapanda kwa sh. Ngapi?
Hyo nauli ya 6000 raha sana matumizi mazuri.
Hayo mayai 3000 maana yake unakula mayai 10 kwa week..dah angalia sana mzee baba
ni sita mkuu mayai ya kienyeji 500 moja
 
Kwa wiki zaidi ya 200k ni nyingi sana na hapo upo single ukioa utajuta.Jaribu kubana matumizi kwa kuangalia vitu vifuatavyo:
Gharama za kupika kama uko single au MTU mmoja ni juu sana kuliko mkiwa wawili au watatu kwani nishati inayotumika kupikia ni ile ile na Mara nyingi chakula hubaki na kuharibika.
Angalia alternative ya kula kwa mama ntilie anayeeleweka gharama zao kwa mlo ni wastani wa tsh 2000x14Mchana na usiku kwa siku 7 ni 28,000/-Asubuhi Chai/supu ya 2000x14 ni 28,000/-Jumla 56,000/-Hapa unaweza kupunguza matumizi zaidi ya nusu.
Angalia matumizi ya lazima na yasiyo ya lazima, fanya ya lazima achana na yasiyo ya lazima.
Pesa inayobaki wekeza kwenye miradi ikutengenezee pesa na faida unayopata ndo unatoa 10%kama sadaka.
Ukienda kwa mtindo huo,hutafika mbali kwani inaonesha unafanya kazi na siku ikiondoka hiyo kazi ndo utajua ukubwa wa matumizi yasiyo ya lazima unayoyafanya sasa.
Akili za kuambiwa changanya na za kwako.
shukran mkuu, sema nadhan ndugu wakijua hujaoa ndo wanakua wanakuina huna majukumu hivyo wanakuandama sana, sijui kwa familia zenu nyie
 
Weka utaratibu huu natumaini unalo fridge

Mchele kg 10 (16,000 - 22,000) - humalizi kwa mwezi

Samaki sato kg 2 (20,000)-utagawa kwa siku 4 (funga separate)

Nyama kg 2 (12,000) - siku 8 (1/4
Kg kwa siku)

Kuku 2 (15,000) - siku 4 (1/4 per day)
Nyanya sado 1 (4000-5000)

Vitunguu sado 1 (3000)

Bamia, hoho, karoti - (6,000)

Mafuta lita 3 - (17,000)

Tambi 2 (3000)

Unga kilo 5 - (10,000)

Maharage kilo 2 - 4000

Viazi ndoo ndogo - 7000

Na vingine vidogo vidogo - 15,000

Jaza fridge lako hapo unatoboa mwezi hayo mengineyo akili kumkichwa
Watanzania ni wajinga sana,hivi unanunua frige kwa ajili ya kuweka hizo takataka!?? Yaani unamshauri anunue,nyama,samaki,nyanya vitunguu nk. Umepiga hesabu hiyo frige kwa muda atakaokuwa ameiwasha atatumia kiasi gani kuihudumia umeme!?? Hivi unaishi hapa dar,nyanya kila siku zinakuja mpya sokoni,nyama kila mpya zinaingia buchani,kwa nn uweke viporo na utakuwa huwezi tena kununua hata zikishuka bei!?? Kununua frige kwa ajili ya kuweka hivyo vitu vinavyopatikana muda wote ni ujinga uliovuka mpaka.
 
Ninaongelea watu ambao tupo busy kweli kweli kupata huo muda wa kwenda kununua nyanya za mia 2 kila siku gengeni, unachukulia kuwa na fridge ni anasa?
 
Watanzania ni wajinga sana,hivi unanunua frige kwa ajili ya kuweka hizo takataka!?? Yaani unamshauri anunue,nyama,samaki,nyanya vitunguu nk. Umepiga hesabu hiyo frige kwa muda atakaokuwa ameiwasha atatumia kiasi gani kuihudumia umeme!?? Hivi unaishi hapa dar,nyanya kila siku zinakuja mpya sokoni,nyama kila mpya zinaingia buchani,kwa nn uweke viporo na utakuwa huwezi tena kununua hata zikishuka bei!?? Kununua frige kwa ajili ya kuweka hivyo vitu vinavyopatikana muda wote ni ujinga uliovuka mpaka.
Mkuu ww unajua kazi ya friji?
 
Back
Top Bottom