Nipo Starpark Msamvu Morogoro pazuri sana

Nipo Starpark Msamvu Morogoro pazuri sana

Ipo msamvu mitaa gani nami nitie timu nicheki warembo wa chuo
Ukifika msamvu terminal pub unanyosha moja kwa moja utaiona tu au ukiwa msamvu ulizia yoyote atakuonyesha mkuu.
 
Pana parking ya kutosha kama samaki na wale wajasiliamali?
Parking sio kubwa unazunguka mpaka barabara zinazoizunguka Star park ila Kuna walinzi mi nimetoa buku tu ulinzi upo.
 
Nipo hapa, utulivu mkubwa, mziki ni request Safi kabisa, naona totoz zina bia zao za kuzuga ....naziangalia kwa makini kabisa ipi itanifaa usiku wa leo..
 
Back
Top Bottom