Nipo tayari kufundisha

kafundishe uzidi kuferisha wanafunzi kwa tamaa ya hela uzalishe bomu jingine tena

Duuuuuuuuuuuuu!!!!!!!! kweli kwenye wengi hapakosi neno, sidhani km kuna sehemu alisema anahitaji malipo, bali alisema malipo atayapata kwa Mungu in short free of charge
 
ni kweli usemayo bwana duncan hapo juu..lakin tatzo la walimu lpo muda mrefu kwa muda huu na taifa linapoelekea ni vzur kuwajir vijana wa kidato cha sita kwa kuokoa jahaz.kijana alyemaliza form six anakaa kuanzia mwez wa pil mpaka wa kum huon kwa muda huo utakuwa umewasaidia vijana hawa kujiandaa na mitihan yao.swala la kwamb walimu hao hawana ethcs czan kama lna mshiko kwa xababu tunawaona hao walopat had vyet ndio mabngwa wa kutembea na hao wanafunzi..hyo n tabia ya mtu bwana duncan ingawa pia n kwel..swala la weng wanaomaliza masom ya sanaa n weng hyo ni kweli na hat hao wa sayans wachache hawapew nafasi.mfano mzur n mm mwenyew nlmaliza mwaka jana nlkuwa naomba nifundshe masom kati ya haya pcm nliomba takriban shule tisa na nkakatlwa kote na kwenye chet cha form 4 nlkuwa na AAA kwenye masom hayo..uongoz wa shule nying pia bado n kikazo kikubw katka maendleo ya elimu nchin
 
Hili nalo neno
 
ndo promo za ubunge nini hamchelewagi nyie watu
 
Hata madaktari hawatoshi, jitoleeni kutibu wagonjwa pia. Wapo form six kibao wamesoma biology. Pumbavu kabisa.
 

na hili ndio tatizo linalokumba elimu yetu kwamba mtu yeyote tu anaibuka na kutaka kufundisha, unajua kufundisha kuna ethics zake sio unakurupuka tu kisa eti una digrii na kuanza kufundisha matokeo yake ndo yale yale eti 2 ni namba shufwa hii ni ajabu sana wewe endelea na sheria yako bana acha walimu wafanye kazi yao ala?!
 
Acha wivu usio na maana.Usichoweza wewe,acha tunaoweza tufanye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…