Nipo tayari kujitolea gharama za matibabu ya akili kwa mkurugenzi wa Tanesco Kariakoo CBD

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Kwa kweli, kwa kweli, jamani, kwa hili la kukata umeme Kariakoo tangu asubuhi hadi muda huu umeme haujarudi kwa maeneo mengi ya Kariakoo, binafsi nipo tayari kutoa usafiri hadi Milembe, na nitalipa gharama zote za matibabu, this is Insanity!!!!!!!
 
Anzisha kampeni ya kupanda miti mvua zinyeshe kusiwe na mgao wa umeme
 
Hivi vinyesi vingekuwa kwenye vichwa vya watu wa Libya au Mauritania sijui kama wangekuwa wanajua hata kitu kinaitwa umeme.
Anyways mabuyu ya asali nayo yakizidi yanalewesha!
 
Chawa nakuona unatoa long term solution ili kutibu short term problem, hiyo miti yako mpaka ikue ni mwaka gani?!
Miti ipo mingi tu wanachotakiwa ni kulinda vyanzo vya maji. Miaka minne iliyopita kulikuwa na kampeni kubwa la kulinda vyanzo vya maji chini ya Suma JKT.
 
Anzisha kampeni ya kupanda miti mvua zinyeshe kusiwe na mgao wa umeme
Mvua zikinyesha mabwawa ya kuzalisha umeme hujaa tope na kuzuia mitambo ya uzalishaji kuzunguka, matokeo yake huwa mgao mkali kuliko huu wa maji kupungua
 
Hili la Power rationing liko kila mahala mwaka huu lakini tunachotaka ni Ratiba ya mgao.

Millions of UK households could face power rationing this winter

Source: Google
 
Miti ipo mingi tu wanachotakiwa ni kulinda vyanzo vya maji. Miaka minne iliyopita kulikuwa na kampeni kubwa la kulinda vyanzo vya maji chini ya Suma JKT.
Maji yanamalizwa na samaki
Kila samaki mmoja anakunywa wastani wa lita 2 ya maji kila siku, fikiria samaki milioni 9 wanamaliza lita ngapi kwa siku
 
Kwa kweli, kwa kweli, jamani, kwa hili la kukata umeme Kariakoo tangu asubuhi hadi muda huu umeme haujarudi kwa maeneo mengi ya Kariakoo, binafsi nipo tayari kutoa usafiri hadi Milembe, na nitalipa gharama zote za matibabu, this is Insanity!!!!!!!
Kwani Kipara anasemaje?
 
Maji yanamalizwa na samaki
Kila samaki mmoja anakunywa wastani wa lita 2 ya maji kila siku, fikiria samaki milioni 9 wanamaliza lita ngapi kwa siku
Basi waanze kuwaondoa na samaki kwenye vyanzo vya maji kama vipi.
 
Kwa kweli, kwa kweli, jamani, kwa hili la kukata umeme Kariakoo tangu asubuhi hadi muda huu umeme haujarudi kwa maeneo mengi ya Kariakoo, binafsi nipo tayari kutoa usafiri hadi Milembe, na nitalipa gharama zote za matibabu, this is Insanity!!!!!!!
Hawajali....watu wasipoingiza kipato
Hawajali watu wasipofanya kazi....
Wao wanajua watawabana makodi+tozo
Mkuu unafikiri hawa jamaa wanajali

Ova
 
Back
Top Bottom