Nipo tayari kujitolea gharama za matibabu ya akili kwa mkurugenzi wa Tanesco Kariakoo CBD

Hili la Power rationing liko kila mahala mwaka huu lakini tunachotaka ni Ratiba ya mgao.

Millions of UK households could face power rationing this winter

Source: Google
Mara ya mwisho huko UK kukatiwa umeme ilikuwa 1977 tangu hapo umeme haujawahi kuzinguaaa

Ova
 
Jenereta la laki sabini pia linakushinda?
Mkuu mimi mtaani kwangu sijakutana na changamoto ya umeme kiukweli na pia changamoto ya maji sijakutana nayo mara nyingi yakikatika asubuhi jioni yanarudi

Hata hivyo ni wajibu wa serikali kuhakikisha tunapata umeme hata kama tuna uwezo wa kununua jenereta la milioni mbili
 
Daah! Kwa hiyo Kwa sasa Kariakoo ni kama upo kijijini kulivyo kiza totolo siyo.?
 
Kariakoo yote toka asubuhi hakuna umeme
Safi sana,ngoja Sasa nilete Mzigo wangu wa ma generator niwauzie hapo Kariakoo,mziki wa totoootoo,bubuuuuubuu,paappaaa uanze hapo Kariakoo! Full makelele ya Generator Kama zile enzi!!
 
Hili la Power rationing liko kila mahala mwaka huu lakini tunachotaka ni Ratiba ya mgao.

Millions of UK households could face power rationing this winter

Source: Google
Kwahio UK wakipata rationing tu-justify upuuzi unaofanyika huku ? Europe wamekuwa affected na Ukraine Conflict (jambo ambalo wala halikuwa predictable - Vita), sisi huku tunategemea pia Gesi kutoka Russia ?

Tukikubali visababu after the fact, sababu huwa haziishi.., wamalize Bwawa haraka litaongeza Megawatt, ila tunapoelekea ni mwendo ule ule kuwapa Tender watu wauzie Tanesco umeme mwisho wa siku tuuziwe sisi.., Tunalipia gharama kubwa sana la kugawana giza...
 
Wanachelewesha ule mradi ili uamze kazi kipindi cha uchaguzi
 
Back
Top Bottom