FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Anzisha kampeni ya kupanda miti mvua zinyeshe kusiwe na mgao wa umemeKwa kweli, kwa kweli, jamani, kwa hili la kukata umeme Kariakoo tangu asubuhi hadi muda huu umeme haujarudi kwa maeneo mengi ya Kariakoo, binafsi nipo tayari kutoa usafiri hadi Milembe, na nitalipa gharama zote za matibabu, this is Insanity!!!!!!!
Wanatuhurumia, wakitoa ratiba ya kweli ya mgao, na masaa ya kukata umeme, tutazimia.Ndio maana hata ratiba ya mgao Jijini hawatoi, kumbe ni Wagonjwa? [emoji38][emoji16]
Chawa nakuona unatoa long term solution ili kutibu short term problem, hiyo miti yako mpaka ikue ni mwaka gani?!Anzisha kampeni ya kupanda miti mvua zinyeshe kusiwe na mgao wa umeme
Ni bora tujue ili tuwe tunaenda na timingWanatuhurumia, wakitoa ratiba ya kweli ya mgao na masaa ya kukata umeme tutazimia.
Labda hujamuelewa mleta mada,au umekurupuka.Anzisha kampeni ya kupanda miti mvua zinyeshe kusiwe na mgao wa umeme
Tunaishi kwa kudra za CCMKwa kweli, kwa kweli, jamani, kwa hili la kukata umeme Kariakoo tangu asubuhi hadi muda huu umeme haujarudi kwa maeneo mengi ya Kariakoo, binafsi nipo tayari kutoa usafiri hadi Milembe, na nitalipa gharama zote za matibabu, this is Insanity!!!!!!!
Hivi vinyesi vingekuwa kwenye vichwa vya watu wa Libya au Mauritania sijui kama wangekuwa wanajua hata kitu kinaitwa umeme.Anzisha kampeni ya kupanda miti mvua zinyeshe kusiwe na mgao wa umeme
Miti ipo mingi tu wanachotakiwa ni kulinda vyanzo vya maji. Miaka minne iliyopita kulikuwa na kampeni kubwa la kulinda vyanzo vya maji chini ya Suma JKT.Chawa nakuona unatoa long term solution ili kutibu short term problem, hiyo miti yako mpaka ikue ni mwaka gani?!
Mvua zikinyesha mabwawa ya kuzalisha umeme hujaa tope na kuzuia mitambo ya uzalishaji kuzunguka, matokeo yake huwa mgao mkali kuliko huu wa maji kupunguaAnzisha kampeni ya kupanda miti mvua zinyeshe kusiwe na mgao wa umeme
Gesi inanyesha kama mvua siku hizi?! Tangu lini?Anzisha kampeni ya kupanda miti mvua zinyeshe kusiwe na mgao wa umeme
Maji yanamalizwa na samakiMiti ipo mingi tu wanachotakiwa ni kulinda vyanzo vya maji. Miaka minne iliyopita kulikuwa na kampeni kubwa la kulinda vyanzo vya maji chini ya Suma JKT.
Kwani Kipara anasemaje?Kwa kweli, kwa kweli, jamani, kwa hili la kukata umeme Kariakoo tangu asubuhi hadi muda huu umeme haujarudi kwa maeneo mengi ya Kariakoo, binafsi nipo tayari kutoa usafiri hadi Milembe, na nitalipa gharama zote za matibabu, this is Insanity!!!!!!!
Basi waanze kuwaondoa na samaki kwenye vyanzo vya maji kama vipi.Maji yanamalizwa na samaki
Kila samaki mmoja anakunywa wastani wa lita 2 ya maji kila siku, fikiria samaki milioni 9 wanamaliza lita ngapi kwa siku
Kipara anasema ataua mtu msaga kunguni.Kwani Kipara anasemaje?
Na anakojoa lita ngapi? ukijua hilo basi maji hayatakwisha.Maji yanamalizwa na samaki
Kila samaki mmoja anakunywa wastani wa lita 2 ya maji kila
Hawajali....watu wasipoingiza kipatoKwa kweli, kwa kweli, jamani, kwa hili la kukata umeme Kariakoo tangu asubuhi hadi muda huu umeme haujarudi kwa maeneo mengi ya Kariakoo, binafsi nipo tayari kutoa usafiri hadi Milembe, na nitalipa gharama zote za matibabu, this is Insanity!!!!!!!