paul sylvester
JF-Expert Member
- Mar 18, 2020
- 3,503
- 3,499
Mungu akutangulie!! Dhamiri yako ya ndani ikakupe hiki unachokitamani,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kawe Alumin. safi kaka unanikumbushga maneo ya mwalimu wangu wa uchumi kule mzumbe ( marehemu dr kiwango) alikuwa akipenda sana hayo maneno uliyoyaema. Usiweke mayai yote kwenye kikapu kimoja. ...Kila la kheri ila usiweke mayai yote kwenye kikapu kimoja.
Weka wazi Mkuu wewe binafsi unampigia debe Mh Anjela Kairuki na siyo eti yeye ndiye chaguo la Wana Same Magharibi.Kwa Same Magharibi nafasi bado iko wazi kwa mgombea yeyote atakayepitishwa na CCM mkazi wa jimbo hili na mwenye mapenzi na nyumbani.
Wapare ni wakarimu, wacha Mungu, wachapakazi na wastahimilivu pia.
Kwa sasa wamevumilia na wamechoka, wamechoka tena wamechoka kweli.
Kiufupi unawexa ukapata endapo CCM itamrejesha Mathayo David,vinginevyo kama atatokea mgombea mwingine kama anavyotajwa Angelah Jasmin Kairuki, baasi kaka tafuta shamba la Tangawizi au vitunguu Ruvu uhangaike nalo.
Mathayo David anachangamoto nyingi nyingi tena anawakera wapare na sasa wanamsubiria kwa hamu.
Omba uzima wanaotajwa kuwagusa wananchi wa Same kama Mh Mama Kairuki wasije kuchukua form hapo CHADEMA mtaserereka asubuhi na ubunge.
Bon voyage.
mathayo hashindi tena ubunge kwa SAME, jimbo liko wazi kwa ANGELLAH KAIRUKI.Kwa Same Magharibi nafasi bado iko wazi kwa mgombea yeyote atakayepitishwa na CCM mkazi wa jimbo hili na mwenye mapenzi na nyumbani.
Wapare ni wakarimu, wacha Mungu, wachapakazi na wastahimilivu pia.
Kwa sasa wamevumilia na wamechoka, wamechoka tena wamechoka kweli.
Kiufupi unawexa ukapata endapo CCM itamrejesha Mathayo David,vinginevyo kama atatokea mgombea mwingine kama anavyotajwa Angelah Jasmin Kairuki, baasi kaka tafuta shamba la Tangawizi au vitunguu Ruvu uhangaike nalo.
Mathayo David anachangamoto nyingi nyingi tena anawakera wapare na sasa wanamsubiria kwa hamu.
Omba uzima wanaotajwa kuwagusa wananchi wa Same kama Mh Mama Kairuki wasije kuchukua form hapo CHADEMA mtaserereka asubuhi na ubunge.
Bon voyage.
Kama huyu Mzee? Mengine aliyaweka CCMKila la kheri ila usiweke mayai yote kwenye kikapu kimoja.
[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wakuu Wasalaam!
Natumai mnaendelea vyema na Ujenzi wa Taifa letu tukufu. Leo napenda kuwajulisha rasmi azma yangu ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Same Magharibi kwa tiketi ya Chama Changu cha CHADEMA .
Mimi Fredrick Justine ambaye ni Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mwenye kadi ya uanachama namba 222111 nilitangaza nia hiyo tangu tarehe 20 March 2020 kwakumuandikia barua katibu wa Kanda ya Kaskazini kama utaratibu wa Chama ulivyotuelekeza.
Katika barua yangu, nilimjulisha katibu wa kanda kwamba,
“Nimefikia uammuzi huu baada yakujipima na kuona natosha kuwatumikia ndugu zangu wa Same na umma wa Watanzania, huku moyo wangu ukiwa umejaa shauku kubwa nikitamani kuiona Tanzania, nchi tuipendayo kwa moyo wote inapata ustawi na kuendeleza matamanio, matarajio na ndoto za watu wake, kuanzia ngazi ya mtaa hadi taifa kwa ujumla"
Pia niliendelea kwa kumuandikia katibu wa Kanda.
“Katika kuwapatia maendeleo endevu wananchi wa Same yatupaswa kuwa na Taifa linalosimamia uhuru na haki za watu, utawala wa sheria, uhuru wa vyombo vya habari,na demokrasia ya kweli inayowapa wananchi mamlaka kuhusu mustakabali na mwelekeo wa nchi kupitia chaguzi za viongozi zilizo huru na za haki.
Pia, nilieleza namna nilivyojipanga kushirikiana na viongozi wengine watakaochaguliwa kuunda serikali katika kusimamia utatuzi wa kero mbali mbali zinazowakabili wananchi wa Same katika sekta ya Afya, Elimu, Kilimo, Ufugaji na utatuzi wa migogoro ya Ardhi baina ya wafugaji na wakulima inayowakabili wananchi katika maeneo mbalimbali ya Jimbo la Same Magharibi.
Mbali na mambo hayo pia nilieleza endapo ntapata ridhaa ya Chama na wananchi ntashirikiana kwa karibu na wadau wa elimu na wanaharakati wa masuala ya Elimu kuishinikiza serikali kutoa Elimu bila ubaguzi hususani kwa watu wenye mahitaji maalum na mabinti wanaopata ujauzito wakiwa mashuleni ili kuwapa fursa ya kujiendeleza na kufikia malengo yao bila kukwamishwa na sheria, kanuni au matamko kandamizi.
Naombeni ushirikiano wenu katika safari hii muhimu kwa ustawi wa Taifa letu, Mungu Awabariki wotee [emoji120].
Fredrick Mbwambo Justine.