nigga357
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 325
- 238
Za asubuhi wana jamii,
Kama kichwa kinavyo eleza hapo juu,
Nipo tayari kumpa mwanamke wowote pesa ila tuwe na uhusiano maana kwa sasa hivi ninaona kua wanaume wengi wanalalamika kua Serikali ya awamu ya tano imebana sana matumizi.
Nimeona kua kwa kua wanawake wengi ambao walikua michepuko hawana uwezo tena wakupiga mizinga waje kwangu maana pesa kwangu sio tatizo kabisa. Ila sharti ni moja tu usiulize kua pesa zimetoka wapi wewe tumia tu.
Kwahio kwa kuhitimisha nawakaribisheni enyi wote wapiga mizinga mje kwangu, lakini watu watatu wa kwanza ndio watapewa kipaumbele.