kenny mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 17, 2021
- 316
- 848
Wakuu kupitia JF imetufanya tuwe kama ndugu na pia JF ni chombo kilichotuunganisha watu tofauti tofauti. So sioni ubaya wowote kama siku moja nitapata moja baridi na huyu member wa JF ledada ninamkubari sana huyu dada na napenda kuanzisha urafiki ikiwa tu atakubali ombi langu
Nataka ka ofa ka kumtoa out siku moja tukapata nyama choma na moja moto sio kwa ubaya ila ledada i have something special for you [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Nataka ka ofa ka kumtoa out siku moja tukapata nyama choma na moja moto sio kwa ubaya ila ledada i have something special for you [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]