Nipo tayari kumtoa out huyu member wa JF (Ledada) kwa gharama yoyote ile

Nipo tayari kumtoa out huyu member wa JF (Ledada) kwa gharama yoyote ile

We huwa ni mkali mkali sana, hatutaki wadada wakali. Ngoja tuone kama mtu atazama pm
[emoji23][emoji23][emoji23] aisee, wewe umeweza nijua vyema. Ni mkali kweli. Sipendi ujinga ujinga. Ila ktk mapenzi hakunaga baunsa[emoji23] just be real to me amd enjoy the journey. FAKE IT TO ME AND AMA CLAPP ON UR BUTTS

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Wakuu kupitia JF imetufanya tuwe kama ndugu na pia JF ni chombo kilichotuunganisha watu tofauti tofauti. So sioni ubaya wowote kama siku moja nitapata moja baridi na huyu member wa JF ledada ninamkubari sana huyu dada na napenda kuanzisha urafiki ikiwa tu atakubali ombi langu

Nataka ka ofa ka kumtoa out siku moja tukapata nyama choma na moja moto sio kwa ubaya ila ledada i have something special for you [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Mkuu Hawa wadada wa town ukimualika mmoja wanakuja pair.... Sasa ikitoka amekuja kweli alafu aliyemsindikiza ni pisi Kali nistue.... nitachangia gharama we nitumie lokesheni jambo limeisha Hilo.
 
Back
Top Bottom