miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Wa manzese hawaigipagi jamani[emoji23]We unaweza usiwe na noma una uhakika Mr Pablo Hana noma ? Sio mtu wa miraba minne kweli
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23] ila umenifokea sana. [emoji23][emoji119][emoji119] sijapendaaWe unaonekana mkali sana, wanaume hatutaki wanawake wakali wakali..Ila utapata tu[emoji23]
Mimi nataka kuja ili tujaribu kumrekebisha cocastic pamoja! Nije lini?
Au umuonjeshe kidogo, sina wivu ujue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119] haiwezekani bwasheee. Huyo cocastic ni mtambo mwingine
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Ameniambia in public na majibu pia yalifaa yawe in public au nimekoseaDuh@ledada hyo hapana ungempea PM...too bad kwa kjana huyu.
😂😂😂😂😂😂Umeamua kumpiga nyundo utosini aisee, ndio maana mi naogopa kutongoza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na mimi mtu tuonane jameni[emoji119][emoji119]
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Teh teh na mi nimepata wa kunipenda.i love u upo..?😋
We huwa ni mkali mkali sana, hatutaki wadada wakali. Ngoja tuone kama mtu atazama pm[emoji23][emoji23] ila umenifokea sana. [emoji23][emoji119][emoji119] sijapendaa
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
You are right miss ledada.Ameniambia in public na majibu pia yalifaa yawe in public au nimekosea
Sio mchezo kumbe ni binti wa kimachameWashaachana yupo single anasimamia bar ya baba yake! Cheza na mabinti wa machame
Je kama anatembea na mguu wa kuku maana huku Manzese sana sana tunatumia dhana za jadi
Mamzese ngwara tunakulaga bana... hatuzitembeleiJe kama anatembea na mguu wa kuku maana huku Manzese sana sana tunatumia dhana za jadi
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] aisee, wewe umeweza nijua vyema. Ni mkali kweli. Sipendi ujinga ujinga. Ila ktk mapenzi hakunaga baunsa[emoji23] just be real to me amd enjoy the journey. FAKE IT TO ME AND AMA CLAPP ON UR BUTTSWe huwa ni mkali mkali sana, hatutaki wadada wakali. Ngoja tuone kama mtu atazama pm
Hivi pasco kwann unanisumbua[emoji23][emoji23] naja kukupa spana zako twitaAu umuonjeshe kidogo, sina wivu ujue
[emoji23][emoji23][emoji23] utayaweza haya magubegube yaliyoshindikana na mtume?
Mkuu Hawa wadada wa town ukimualika mmoja wanakuja pair.... Sasa ikitoka amekuja kweli alafu aliyemsindikiza ni pisi Kali nistue.... nitachangia gharama we nitumie lokesheni jambo limeisha Hilo.Wakuu kupitia JF imetufanya tuwe kama ndugu na pia JF ni chombo kilichotuunganisha watu tofauti tofauti. So sioni ubaya wowote kama siku moja nitapata moja baridi na huyu member wa JF ledada ninamkubari sana huyu dada na napenda kuanzisha urafiki ikiwa tu atakubali ombi langu
Nataka ka ofa ka kumtoa out siku moja tukapata nyama choma na moja moto sio kwa ubaya ila ledada i have something special for you [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]