Nipo ugenini, wanapika chakula kidogo mno

Kila mtu kakomaa mjini bajeti mjini bajeti.

Huo ni mji gani wa kuishi kama huwezi mudu chakula?
Yes, mjini hatuna mashamba so ni mwendo wa budget tu. Vipato havizunguki 30days unadhani watu wanafanyaje zaidi ya kuishi kwa strict budget?
 
Sasa wanakuaje mabonge vile kama hawashibi vizuri?
Junk foods mkuu, mtu akipata 2500 anaenda kibanda chips anakula chips yai na pepsi yake unadhani habongeki?

Japo binafsi naona matumbo yetu yanahitaji kiwango kidogo, as wengi hatufanyi kazi za nguvu. Ndio mana sahani moja mtu yupo sawa tu, wakija kutoka vijijini wanapata shida coz wamezoea kazi ngumu na misosi mingi.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜, labda huwa hawafanyi kazi ngumu.., halafu we kumbe unabeba zege
 
Yes, mjini hatuna mashamba so ni mwendo wa budget tu. Vipato havizunguki 30days unadhani watu wanafanyaje zaidi ya kuishi kwa strict budget?
Sijawahi ona hiyo ya chakula kinatolewa kwa uchache kiasi hicho
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Huyu kaanza mazoezi ya family budget mapema sana [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…