Nipo ugenini, wanapika chakula kidogo mno

Bangi zinachangi sana kufanya watu kula sana

Kula sana kwakujifos ni tatizo ila kula kulingana na uwezo wako apo sio tatizo ila kwa wanaume mi naona ni udhaifu, na endapounatafuta mwemyewe na mwili wako unakuruhusu kula kuku nusu na chapati bila kupunja wengine wanao kutegemea kula narudia tena kula usijibane kabisa hasa ukiwa mwanaume.

hata njiani tunatofautiana miili, nguvu na afya kwa ujumla ndo ivo ivo hata kwenye kula tunatofautiana kulingana na mahitaji ya mwili husika.

Binafsi nilianza kupata altitude ya kula nilipopata dawa flani kutoka kigoma zinatibu maradhi mengi ndo niligundua kumbe nilikua mgojwa miaka yote, pili nilifungua workshop karibu na kituo cha police cha wilaya na mgahawa niliokua naenda kupata tea ndo askari wengi walikua wanatumia pale kama sehem yao yakupata misos asee wale washkaji hawavungi kwenye kula na kuna kamishina flani iv rafik yangu wakurya walinimotivate sana niligundua mwanaume bila kula huwezi kua na nguvu yan iyo nimeprove mwemyewe, tena zingatia kula vyakula vyakujenga mwili na kuupa nguvu utaona utavyokua imara kila idara.

Maisha ni kula mwili ndo utao zikwa nao, as umetafuta mwenyewe kwa jasho lako bas hakikisha familia yako nawew mnakula vizuri kila mtu kwa tani yake sio bajet za kijinga kijinga kwenye chakula.
 
Jamani mbinguni hakuna hotel , tujilie tushibe hapa duniani. Mbinguni ni mapambio kusifu na kuabudu, mkate na divai.
Wanaume piga menu uvue shati ujipepee uwe na nguvu.( usiwe na kitambi)

Wanawake kula kiasi miili yetu sio ya kufukia kushiba sana hasa usiku.

Muda huu saa 08:30 asubuhi nimeshakula chakula kabisa na sio chai nimepika naenda kazini mchana sili. Nakula saa 18:00 kamili jion. Saa 18:30 jion naenda mazoezi nakimbia kiasi natembea mpaka saa 20:30usiku nikifika home sili chochote labda maji mpaka kesho.

Hivi nyie mulishawazaga mtu akifa yale maneno yanayosemwa? Mali umezitafuta mwenyewe ila unazikwa haraka ili watu wale.
Utasikia
1. Jamani Tuzike haraka ndo tukale
2. Chakula kipimwe kingi cha kutosha.

Hizi sentence zinaniumiza sana sasa wewe jibane na ubahili wako kutwa kujilisha kabichi na ugali, ukifa tutkuzika chap ndo tuje tule ma ng'ombe yako.
 
Huyu bibi FaizaFoxy sijui alikunywa nini au kuvuta nini wakati anapost kwa akili zake za kiajuza anadhani kila mtu anakuja ugenini kutembea tu au kwenye semina.Kuna watu wanakuja kuuguza mtu anauguza mwezi,miwili hata mitatu mda huo wote atakuwa anakaa hotelini kwa kipato gani?
 
Je kama ni mwanafunzi yupo likizo, maana wanafunzi wengi huishia kwa ndugu wakati wa likizo kupoza makali
Hawa nao huwa changamoto sana basi tu tutafanyaje wavivu wengi wao wanapenda sana TV na kuangalia miziki isiyo na mafaili hawataki kusaidia kazi za nyumbani..wazazi tuwafundishe watoto kuwa punctual na kujiongeza wanakera sana
 
Sema wapare hawataelewa huu ushauri.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Pole sana mkuu
 
Hawa nao huwa changamoto sana basi tu tutafanyaje wavivu wengi wao wanapenda sana TV na kuangalia miziki isiyo na mafaili hawataki kusaidia kazi za nyumbani..wazazi tuwafundishe watoto kuwa punctual na kujiongeza wanakera sana
mimi mkuu kuna wifi wa mke wangu (yaani mke wa kaka yake ) Aliomba kuja kutembea ,Ajabu toka aje ,hata kumsaidia kupika wife hamsaidii au kazi dongo ndogo hasaidii yeye ni kukaa kuangalia tv ,mwenzie akahangaike na majungu huko mchana asubuhi jioni usiku na same time wife anakaofisi kake anakwenda huku kufanya kazi inamana hata akichelewa akifika aingie jikoni mwenyewe apike amtengee ale na yeye ana watoto watatu .
..Aisee hawa ndgu wanaokuja majumbani kwa watu huwa ni mtihaani,Wapo wenye kujielewa hata kama wanabebwa huwa wanajiongeza wakifika miji ya watu wanasaidia kazi ndogo ndogo kufagia uwanja ,kuosha vyombo hata kupika ,ila huyu dada aisee ni too much hata watoto alivyowalia ni mtihaani ,yaan mtoto hata kuamkia wakubwa hajui ,

Toka aje hajawahi nisalimia na mama mtu hajali na nilivumilia siku nikamwambia mfundishe mtoto wako kuamkia wakubwa ,mtaenda sehemu zingine mtatia aibu kwakweli ,basi kanisikiliza ila mambo yale yale ,nimeamua muachana naye maana muda ukiisha waende zao ...
 
We itakua ulikua peponi angalia vizuri[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unatakiwa uwe na pocket money πŸ€‘πŸ’°
Unakua una Toka kimya kimya piga menyu....ukifika hapo unakua kama unakazia Swaumu....
😊😊😊😊
#YMCMB
 
Mara nyingi watu kama hao hawanaga sijui mood ya kula , kuna familia hapa jiran yangu ya watoto wawil baba na mama na Dada wa kazi wakipika wali kilo utagalagala siku nzima tutoto tumekoonda na wana hela ya kubadilishia mboga vizur tu
 
Wanafanya Nn siku zote hizo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…