Nipo ugenini, wanapika chakula kidogo mno

Huu ugeni jamani,

Nipo ugenini hapa nilipofikia nimejitahidi nisiwe nakula bure, nimefika ijumaa na Ile Ile ijumaa nilileta mafuta ya kula Lita 3.

Hapo hapo nikanunua na nguruwe kilo 2, huwa sipend Sana free lunch. Sasa bana hapa nilipo wanapika msosi kidogo sana yaani daah sijui ndo walivozoea.

Daah nakula slow slow Ila sishibi. Ijumaa na jumamosi nimekula sahani mbili tu yaani mchana napiga chenga, sipendi kuhudhuria kila mida ya misosi.

Sasa Leo jioni (muda si mrefu sijaanza kuandika hii post) Wife wa jamaa wakaleta msosi kama kawaida yao kidogo sana. Nimekaa nazuga zuga naangalia TV uvumilivu ukanishinda nikaona ngoja nimege ugali.

Nikakata nusu, maana nilijua tupo wawili mi na jamaa mwenye nyumba. Nikahisi wife wa jamaa na mdogo wake wanakula uko jikoni. Ile nimekata nusu naona wife wa jamaa na mdogo wake nao Wanakuja daah!

Basi shem ikabidi azuge kama kashiba. Mdogo wa Shem ndo akakata Ile nusu, uliobaki ndo jamaa kala. Nimejisikia vibaya mno natamani niondoke Lee. Yaani jumatatu naona mbali.
Kwani mkuu wewe umetoka bush? Kwa nini wasikusaidie kitanda tu lakini msosi unakuwa unapiga town? Watu wengine huwaga hamwoni aibu?
 
Huu ugeni jamani,

Nipo ugenini hapa nilipofikia nimejitahidi nisiwe nakula bure, nimefika ijumaa na Ile Ile ijumaa nilileta mafuta ya kula Lita 3.

akakata Ile nusu, uliobaki ndo jamaa kala. Nimejisikia vibaya mno natamani niondoke Lee. Yaani jumatatu naona mbali.
Hao ni wachoyo...kuna kipindi kimoja nilienda kumtembelea baba yangu mdogo Kilosa mkewe alikuwa mchoyo sana anapika chakula kidogo sana nikajirudia zangu CHABIMA ndani huko karibu na Lumuma.
 
Huu ugeni jamani,

Nipo ugenini hapa nilipofikia nimejitahidi nisiwe nakula bure, nimefika ijumaa na Ile Ile ijumaa nilileta mafuta ya kula Lita 3.

Hapo hapo nikanunua na nguruwe kilo 2, huwa sipend Sana free lunch. Sasa bana hapa nilipo wanapika msosi kidogo sana yaani daah sijui ndo walivozoea.

Daah nakula slow slow Ila sishibi. Ijumaa na jumamosi nimekula sahani mbili tu yaani mchana napiga chenga, sipendi kuhudhuria kila mida ya misosi.

Sasa Leo jioni (muda si mrefu sijaanza kuandika hii post) Wife wa jamaa wakaleta msosi kama kawaida yao kidogo sana. Nimekaa nazuga zuga naangalia TV uvumilivu ukanishinda nikaona ngoja nimege ugali.

Nikakata nusu, maana nilijua tupo wawili mi na jamaa mwenye nyumba. Nikahisi wife wa jamaa na mdogo wake wanakula uko jikoni. Ile nimekata nusu naona wife wa jamaa na mdogo wake nao Wanakuja daah!

Basi shem ikabidi azuge kama kashiba. Mdogo wa Shem ndo akakata Ile nusu, uliobaki ndo jamaa kala. Nimejisikia vibaya mno natamani niondoke Lee. Yaani jumatatu naona mbali.

Toka hapo rudi kako wew mtu mzima unalalamika
 
UMENIKUMBUSHA KIPINDI CHA NYUMA WAKATI NAISHI NA EX WANGU KUNA KIPINDI RAFIKI YANGU ALIKUWA AKITUTEMBELEA AKIKARIBISHWA KULA HATAKI KABISA ANADAI AMESHIBA KWANI ALIPOTOKA ALIKUWA TAYARI YUPO FULL, IKAWA TUKIWA WAWILI ALINIAMBIA KWAMBA HUWA HATAKI KULA KWA SABABU ANAHISI HATUTASHIBA KWAAJILI YAKE KWA KUWA UGALI ULIKUWA MDOGO SANA, WAKATI ANAONGEA HAYO ME NIKAWA NIKIVUTA VICHA NI JINSI GANI HUWA TUNAMWAGA CHAKULA KINAPOBAKI KILA WAKATI... MIMI NA EX WANGU TULIKUWA HATUMALIZI UGALI MARA NYINGI NA NILIKUWA NAHISI KAMA ANAPIKA UGALI MKUBWA SANA HIVYO NIKAWA NAMSEMA KILA MARA.

BAADA YA KUJA KUACHANA NAE NA MIMI NIKAANZA KUISHI SINGLE SASA NAWEZA KISEMA YULE BEST'ANGU SASA HANIZIDI KUPIGA MSOSI YAANI NAKULA KINOMA, SUFURIA ALIYOKUWA ANATUMIA EX SASA NAIONA NDOGO KUPIKIA UGALI WANGU MWENYEWE.

SO MY POINT HERE IS, WAKATI MWINGINE SIO KUBANA BAJETI ILA MAZOEA YA WATU YANAWEZA KUWAFANYA WAKAWA WANAONA MAYBE KITU KINATOSHA KUTOKANA NA AINA YA MAISHA WANAYOISHI ILA KWA MACHO YA WENGINE IKAWA SIVYO.

KINGINE NI KWAMBA KWA UCHUNGUZI WANGU MTU ANAEISHI SINGLE ANAKULA ZAIDI KULIKO ANAEILALIA NA KUIAMKIA.
 
Huu ugeni jamani,

Nipo ugenini hapa nilipofikia nimejitahidi nisiwe nakula bure, nimefika ijumaa na Ile Ile ijumaa nilileta mafuta ya kula Lita 3.

Hapo hapo nikanunua na nguruwe kilo 2, huwa sipend Sana free lunch. Sasa bana hapa nilipo wanapika msosi kidogo sana yaani daah sijui ndo walivozoea.

Daah nakula slow slow Ila sishibi. Ijumaa na jumamosi nimekula sahani mbili tu yaani mchana napiga chenga, sipendi kuhudhuria kila mida ya misosi.

Sasa Leo jioni (muda si mrefu sijaanza kuandika hii post) Wife wa jamaa wakaleta msosi kama kawaida yao kidogo sana. Nimekaa nazuga zuga naangalia TV uvumilivu ukanishinda nikaona ngoja nimege ugali.

Nikakata nusu, maana nilijua tupo wawili mi na jamaa mwenye nyumba. Nikahisi wife wa jamaa na mdogo wake wanakula uko jikoni. Ile nimekata nusu naona wife wa jamaa na mdogo wake nao Wanakuja daah!

Basi shem ikabidi azuge kama kashiba. Mdogo wa Shem ndo akakata Ile nusu, uliobaki ndo jamaa kala. Nimejisikia vibaya mno natamani niondoke Lee. Yaani jumatatu naona mbali.

Wamezoea kula kidogo[emoji1787] jitajidi maji uwe unakunywa ya kutosha
 
Nahisi maumivu yako mkuu😅😅 aloo kuna wana wanakula aloo
Juzi kati nlikua na jamaa yangu magetoni
Ofsin kwetu kuna eneo kubwaa hivyo eneo kidogo nkapanda mbogamboga na bamiaa
Zimekua tukazikata
Nkamtonya mwamba twende tukalipue geto

Ile nakadilia maji ya ugali ,mwamba kasema oya hi hata kooni haifiki

Tukajaza tooop!!! Moyoni najua ngoma inabaki
Aloo mwanaume kaipiga yoote

Najiuliza why me siwez kula chakula kingi hata nizilazimishe vip?
 
Umekulia mkoa gani?
 
Huu ugeni jamani,

Nipo ugenini hapa nilipofikia nimejitahidi nisiwe nakula bure, nimefika ijumaa na Ile Ile ijumaa nilileta mafuta ya kula Lita 3.

Hapo hapo nikanunua na nguruwe kilo 2, huwa sipend Sana free lunch. Sasa bana hapa nilipo wanapika msosi kidogo sana yaani daah sijui ndo walivozoea.

Daah nakula slow slow Ila sishibi. Ijumaa na jumamosi nimekula sahani mbili tu yaani mchana napiga chenga, sipendi kuhudhuria kila mida ya misosi.

Sasa Leo jioni (muda si mrefu sijaanza kuandika hii post) Wife wa jamaa wakaleta msosi kama kawaida yao kidogo sana. Nimekaa nazuga zuga naangalia TV uvumilivu ukanishinda nikaona ngoja nimege ugali.

Nikakata nusu, maana nilijua tupo wawili mi na jamaa mwenye nyumba. Nikahisi wife wa jamaa na mdogo wake wanakula uko jikoni. Ile nimekata nusu naona wife wa jamaa na mdogo wake nao Wanakuja daah!

Basi shem ikabidi azuge kama kashiba. Mdogo wa Shem ndo akakata Ile nusu, uliobaki ndo jamaa kala. Nimejisikia vibaya mno natamani niondoke Lee. Yaani jumatatu naona mbali.
Jwanza haya mambo ya mtu mzima kufikia kwa watu sijuwi yanakuwaje Tanzania. Kwanini usifikie hotel ukawa huru?

Dunia ya leo si ya kufikia kwa watu, mahoteli yamejaa kila sehemu.

Kula kwa mtu ni kwa kualikwa tu.
 
Hao watu wanaomponda mleta uzi ndio tabia zao hizo[emoji28] ila kiukweli mnatukera sana......
Halafu unakuta niko kwetu huku sigimbi ndanindani kwa bibi Asubuhi naamkia uporo wa ugali na mihogo ya kuchoma ananipiga simu kabisa kini utapata trip ya kuja huku tumeshakumis........

Ukienda sasa ni mwendo wa kijiko kimoja kwenye sahani unalala..... Asubuhi slace mbili za mkate na chai ya rangi vile vikombe vidogo pakiwa na manjonjo sana sausage moja tuu tena inalingana na kidole changu cha mwisho imeisha hyo..... unasepa kwenye ishu zako zilizokuketa huju unasikia njaa ya wiki......

Ila nawaasa ndio maana tunawatomb* sana wake zenu tukija huko town......, Badilikeni hayo sio maisha.... Ina maana gani mtu una nyumba nzuri...., usafiri wa m25 au 30 unaota kitambi cha bia tuuu.... Yaani mwili hujatanuka kabisa ila una kitambi[emoji848]

Jengeni miili nyie mtakuja kufa siku si zenu muanze kusema umelogwa
 
Nyumba yenye furaha ni yenye chakula cha kusaza. Sasa unakuta watu wanapika wali kwenye sufuria za kuchemshia chai! Kweli!!? Unakula hata ukienda toi unatoa kama mbuzi au mtoto!! Nyumba isiyo na chakula cha kutosha haina furaha hata kidogo.
Sio kwamba hawana cha kutosha,ndani kuna mchele,maharage,mkaa,unga nk,sema wao wamezoea kula kidogo,hivyo hufikiri kila mtu anakuwa hivyo,niliishi mwanza,faza hausi,alikuwa anasonga ugali wa kula watu 6,anapiga peke yake,sisi tukisonga wetu alikuwa anasema tunatania hatuli chakula,ugali wenyewe udaga...
 
Jwanza haya mambo ya mtu mzima kufikia kwa watu sijuwi yanakuwaje Tanzania. Kwanini usifikie hotel ukawa huru?

Dunia ya leo si ya kufikia kwa watu, mahoteli yamejaa kila sehemu.

Kula kwa mtu ni kwa kualikwa tu.
he dada,yaani usifikie kwa kaka ako,mdogo wako,baba mkubwa/mdogo,ufikie gesti?watasema analinga kwa kuwa ana hela,dawa ni kujiongeza tu,piga kabla yao huko mtaani...
 
Back
Top Bottom