NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
Hii ni asubuhi kabisa nipo pale pahala.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maisha yenyewe mafupi hata 😂😂Na hii ndio solution ya nn ajitese!
Mkuu walikuja kutembea kabla ya ramadhani Ila jana nimemsikia wife mwenyewe akisema wataftie nauli waondoke ,maana ningesema mimi ningeonekena staki ndgu wa wife ,maana washakuja wengi miyayusho na huwa namwambia wife huyu simtaki arudi hapa kutokana na Tabia zake ,Wanafanya Nn siku zote hizo,
😀😀😀😀Hao ndio watu wamjini budget za msosi kama wahindi.Gunia tatu za dengu matumizi mwaka mzima kazi kuongeza pilipili tu kuleta ladha.
Aisee ifikie kipindi ndugu muache gubu. Huyo mke wako ndio mama mwenye nyumba anashindwa vipi kumwambia ndugu yake njoo jikoni unisaidie kazi?Mkuu walikuja kutembea kabla ya ramadhani Ila jana nimemsikia wife mwenyewe akisema wataftie nauli waondoke ,maana ningesema mimi ningeonekena staki ndgu wa wife ,maana washakuja wengi miyayusho na huwa namwambia wife huyu simtaki arudi hapa kutokana na Tabia zake ,
Sasa huyu mwingine nilinyamaza kimya nikaacha shetani ataje jina (wife mwenyewe afikie uwamuzi ) Ila yeye mwenyewe maana kachoka maana alishindwa hata na bint yangu wa kwanza ana miaka 10 ,usiku wa ijumaa ambapo j mosi ndo sikukuu kulikuwa na maandalizi ya vitafunwa asubuhi ,
Bint alipomuona mama ake pilika nyingi ilibidi aaende jikoni kumsaidia ,Mpaka akamwambia mama ake ,si umwambie shangazi aje akusaidie ,Ila yule wife mtu alikuwa zake ukumbini ana angalia Tv ,Aisee kuna watu hawana haya wala hawajui vibaya aiseeee,
🤣🤣🤣🤣🤣Kuna siku nilikuwa na wageni Fulani watasha sehemu Fulani, wao wanakula Kidogo sana, Mimi nikamsoma dereva maana mswahili mwenzangu, yeye anajifanya anazuga alafu anaaga anaenda kufata vocha aloo Kumbe anaenda kwenye mgahawa wa karibu na kupiga mapigo ya kibongo. Niliunga tela fasta siku inayofata nikamwambia na Mimi nataka nitume M-pesa sehemu akaniambia njiani asee Mimi huwa sishibi hiyo misosi nikamwambia sio peke yako, alicheka sana. Nikaagiza ugali sahani mbili chap, dereva alicheka sana. Hii ndio mipango. [emoji23][emoji23][emoji23]
Wenyeji wako ni wapare au wahaya?Huu ugeni jamani,
Nipo ugenini hapa nilipofikia nimejitahidi nisiwe nakula bure, nimefika ijumaa na Ile Ile ijumaa nilileta mafuta ya kula Lita 3.
Hapo hapo nikanunua na nguruwe kilo 2, huwa sipend Sana free lunch. Sasa bana hapa nilipo wanapika msosi kidogo sana yaani daah sijui ndo walivozoea.
Daah nakula slow slow Ila sishibi. Ijumaa na jumamosi nimekula sahani mbili tu yaani mchana napiga chenga, sipendi kuhudhuria kila mida ya misosi.
Sasa Leo jioni (muda si mrefu sijaanza kuandika hii post) Wife wa jamaa wakaleta msosi kama kawaida yao kidogo sana. Nimekaa nazuga zuga naangalia TV uvumilivu ukanishinda nikaona ngoja nimege ugali.
Nikakata nusu, maana nilijua tupo wawili mi na jamaa mwenye nyumba. Nikahisi wife wa jamaa na mdogo wake wanakula uko jikoni. Ile nimekata nusu naona wife wa jamaa na mdogo wake nao Wanakuja daah!
Basi shem ikabidi azuge kama kashiba. Mdogo wa Shem ndo akakata Ile nusu, uliobaki ndo jamaa kala. Nimejisikia vibaya mno natamani niondoke Lee. Yaani jumatatu naona mbali.
Hakuna lodge huko?Huu ugeni jamani,

rahisi sana nenda sokoni nunua unga kg 10 wa ugali,mchele kg 15,mafuta lita 5 nyanya,vitunguu,na nyama upelekeHuu ugeni jamani,
Nipo ugenini hapa nilipofikia nimejitahidi nisiwe nakula bure, nimefika ijumaa na Ile Ile ijumaa nilileta mafuta ya kula Lita 3.
Hapo hapo nikanunua na nguruwe kilo 2, huwa sipend Sana free lunch. Sasa bana hapa nilipo wanapika msosi kidogo sana yaani daah sijui ndo walivozoea.
Daah nakula slow slow Ila sishibi. Ijumaa na jumamosi nimekula sahani mbili tu yaani mchana napiga chenga, sipendi kuhudhuria kila mida ya misosi.
Sasa Leo jioni (muda si mrefu sijaanza kuandika hii post) Wife wa jamaa wakaleta msosi kama kawaida yao kidogo sana. Nimekaa nazuga zuga naangalia TV uvumilivu ukanishinda nikaona ngoja nimege ugali.
Nikakata nusu, maana nilijua tupo wawili mi na jamaa mwenye nyumba. Nikahisi wife wa jamaa na mdogo wake wanakula uko jikoni. Ile nimekata nusu naona wife wa jamaa na mdogo wake nao Wanakuja daah!
Basi shem ikabidi azuge kama kashiba. Mdogo wa Shem ndo akakata Ile nusu, uliobaki ndo jamaa kala. Nimejisikia vibaya mno natamani niondoke Lee. Yaani jumatatu naona mbali.
Au angefunga tu kama na yeye anafanya bajeti 😄😅😅😅😅😅si ule vibandani jamani
😂😂😂kwa kweliAu angefunga tu kama na yeye anafanya bajeti 😄