Nipo wami na Fuso lina gunia 100 mahindi

Nipo wami na Fuso lina gunia 100 mahindi

Bado upo wapi nije kukupiga gia mbona hio wami ni tuta tu
 
Habari wazee wa Jf.

Ndio mara yangu ya kwanza kupeleka mzigo Dar. Nipo karibu na mteremko wa daraja wami natetemeka wazee nikifikiria kupanda ule mlima dua zenu jamani.
Kama hili?
JamiiForums-28733534.jpg
 
Wadau nashukuru Jana nikipita Salama pale msata nilijipongeza mpaka saa saba
 
wami mbona simple tu au gari yako kimeo. kama gari yako iko vizuri kanyaga mashine Cha msingi zingatia sheria na alama zabarabarani
 
Back
Top Bottom