Nipo

ndambi ndio nini mkuu??

Ebu jaribu kutupia picha kama alivyofanya yeye kama una ubavu

Sasa we kuku wa kienyeji unafanya nini hadi muda huu(kuku wote sa ivi wamelala)[emoji28][emoji28]
Ndambi ni kitambi, wewe unapenda kitambi mkuu
Nikifuge fasta
 
ndambi ndio nini mkuu??

Ebu jaribu kutupia picha kama alivyofanya yeye kama una ubavu

Sasa we kuku wa kienyeji unafanya nini hadi muda huu(kuku wote sa ivi wamelala)[emoji28][emoji28]
Mi pia nasubiria utupie yakwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…