Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
mshana jr ana macho ya kijani. Green eyed GuruMshana naweza kuona macho yako?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mshana jr ana macho ya kijani. Green eyed GuruMshana naweza kuona macho yako?
Mmmh ya kizombi mbonamshana jr ana macho ya kijani. Green eyed Guru
Mkuu zile pm zako mbalimbali umeshajibu zote? 🙂[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kaka hiyo miti mbona kama napajua hapo ni Chato eneo inapofanyikiaga mikutano ya kufunga mwaka ya waganga na wachawi wote.![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]View attachment 426138isitafiriwe vyovyote niko poa japo mbali na dunia ya mtandao
Umekwisha..!!!Hutu jamaa namfananisha na kaka mmoja hivi, nilimnywea bia zake nikamkimbia
Mimi je? Nimesoma somo lako la malango ni zuri sana. Leo kulikuwa na ibada ya kumaliza kipindi cha masika. Tumekula wee mimi sikutoa kitu lugha changanya.[emoji23] [emoji23] [emoji23]nimerejea dada shikamooo nimekumiss
Huyo wa kwenye picha namfahau kabisa.Kwanini shee
Kilingeni [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kaka hiyo miti mbona kama napajua hapo ni Chato eneo inapofanyikiaga mikutano ya kufunga mwaka ya waganga na wachawi wote.![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Angekua ashakugeuza mjusiHutu jamaa namfananisha na kaka mmoja hivi, nilimnywea bia zake nikamkimbia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mshana wewe ni Usalama?