[emoji23] [emoji23] hatari kabisaMtu mzito.
Inaonyesha una Hela hatar.
Anafaa kwa matumizi gani mkuu?[emoji1]Unafaa bro
Hebu fanya kumuovertakeYangu kama ya mshana jr
Ngoja nikutumie.
Usipaze sauti. Nong'ona. Jamaa anatisha na ile taaluma yake.Hebu fanya kumuovertake
Kwa matumizi ya binadamu.Anafaa kwa matumizi gani mkuu?[emoji1]
Hivi mkuu, hadi leo haujajua tu mpaka unaendelea kuitwa 'Mshana Jr' aka Lil Mshana'?Sijatumbuliwa na yeyote yule View attachment 426134japo niko mbali kidogo! Nitarejea soon