Kampungapunga
JF-Expert Member
- Sep 27, 2018
- 313
- 1,100
Karibu sanaNawaslimieni member wote wa JF mana nikitambo sijaingia humu toka nitapeliwe kasimu kangu nilikokapata kwa jasho na damu.
Sasa naona Mungu kanikumbuka nimezawadiwa kasimu kengine hivyo nipokeeni tafadhali.
wezi siyo watu wazuri hawaangalii hata tunapitia kipindi gani, we acha mkuuWalikuliza Mzee pole