Kampungapunga
JF-Expert Member
- Sep 27, 2018
- 313
- 1,100
Nawaslimieni member wote wa JF mana nikitambo sijaingia humu toka nitapeliwe kasimu kangu nilikokapata kwa jasho na damu.
Sasa naona Mungu kanikumbuka nimezawadiwa kasimu kengine hivyo nipokeeni tafadhali.
Sasa naona Mungu kanikumbuka nimezawadiwa kasimu kengine hivyo nipokeeni tafadhali.