karibu jamvini..Wakuu, awali ya yote napenda kuchukua fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia uzima , kuiona siku hii muhimu; tunapoadhimisha miaka 50 ya Muungano wa nchi yetu - TANZANIA. Mimi ni mgeni katika jukwaa hili la Jamii Forums (nimejiunga tarehe 24/04/2014). Hivyo nawaomba sana wakuu mnipokee kama mdogo wenu katika Jukwaa hili. Asanteni sana!:smile::yield::yield:
Mkuu Golota & Kifai: Ngoma 3! Tanganyika Kwanza.