mawazo ya kisomi yapo kila jukwaa mkuu, waliweka majukwaa tofauti kulingana na topic husika, kwamfano, thread inayohusu biashara utaikuta kwenye jukwaa la biashara na uchumi, thread inayohusu mapenzi, utaikuta kwenye jukwaa la mapenzi na mahusiano,! Kwahiyo mkuu kuna majukwaa mengi sanaaaa, kwahiyo usiwe una post thread ili mradi, suala la mapenzi peleka kwenye jukwaa la mapenzi, suala la elimu peleka kwenye jukwaa lake, na kila jukwaa wasomi utatukuta. Ni hayo tu. Karbu sana.