Nipokeeni mwenzenu.

Nipokeeni mwenzenu.

Kigoma 2015

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2011
Posts
371
Reaction score
93
Nawasalimu kwanza, wakubwa shikamoo, vijana wenzangu mabo vipi?.
Nimekuja tushirikiane ktk forum hii ili kwa michango na mawazo yetu hakika 2tajenga nchi ye2 kwa pamoja.
Asanten
 
Karibu sana Mkuu...naomba ututumie migebuka tafadhali.
 
Karibu sana, uliowakuta hapo barazani ni sangara, chatu dume na ndetichia. Umepata kinywaji?
 
Mwisho wa reli. Karibu sana mkuu.
 
Back
Top Bottom