Nipokeeni uwanja wa ndege kwa wale Dar natoka Uingereza kimasomo

Huwa siandiki kwa kuonekana.

Ikibidi huwa nnaandika, sana tena, wala usiwe na wasiwasi pitia pitia post zangu utakumbana na nilizomwaga ung'eng'e.

Nnauhakika si wewe, si bibiyo si babuyo, hamniingii.
Mumeo anavaa boxa size ngapi....
 
hongera kwa kutoka Uingereza...ila punguza ushamba
 
When season change it causes weather abnormalities
Differentiate between weather abnormality and normal summer, winter or spring. Abnormal is like when is winter but you have 20 C or you have summer and the temp. is 40 C in UK for instance.
 
We have gone through alot recently hahaha mkuu umenichekesha sana, kwamba asituongezee matatizo tuna yetu yakututosha, Idumu JF.
 
Wa kutoka UK anasema I have got????????


Kweli bado tuna kazi pevu.

Rais wangu endelea kutumia kiswahili tu, hakuna namna.


Ningekusahihisha kwa mengi lakini ngoja niishie hapo tu nisipoteze muda.
Ulitaka asemej Mkuu??..
 
Are you sure you are in uk or just another UK aka Ukerewe? Please do us a favour by not abusing peoples' language. Your first sentence is as long as River Nile, without mentioning the choice of words and the tone. Karibu Bongo.
So hilo ndo kosa?..wabongo.
 
Huwa siandiki kwa kuonekana.

Ikibidi huwa nnaandika, sana tena, wala usiwe na wasiwasi pitia pitia post zangu utakumbana na nilizomwaga ung'eng'e.

Nnauhakika si wewe, si bibiyo si babuyo, hamniingii.
Mmmmhhhh ww hata mm hunizid mahakika kabisaaa!!.
 
Mkuu unatoka mbele kimasomo lugha yenyewe naona inakupa taabu huko mbele si ulikuwa unaongea maneno ya kiingereza tu na sio lugha yakingereza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…