Nipokeeni uwanja wa ndege kwa wale Dar natoka Uingereza kimasomo

Nipokeeni uwanja wa ndege kwa wale Dar natoka Uingereza kimasomo

asante mkuu,..

nakusubiri na viatu vyangu,sina makuu mie hata ukininunulia hapo primark😉😉😉😉😉😉😉😉😉😉😉😉😉🙂🙂🙂🙂🙂

Ahhhhhhh you made my day " Primark" 20 euro unaondoka na begi ahhhhh. Ila sasa wamejaza mashart na nguo za India utakuta kidogo euro 10 nk la sivyo shati euro 2 to 3 nk
 
Back
Top Bottom